Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
AC Milan are making a move for Tiemoue Bakayoko (@DiMarzio)
Yah! Ingekuwa poa sana kama hili dili lingefanyika.Sikilizeni Nyinyi! Huyo Courtois Wapigeni Real Kwa £80m, Halafu Nyinyi Munatoa £70m Munamchukua Oblak Wa Atletico hapo Mutakuwa Mumesha tengeneza Faida ya £10m.
C uliona jinsi pogba na kante walivyocheza france ndo itakua the same pale katiSimjui Jorginho vizuri, but naona ni 6, sasa najiuliza yeye na Kante nani zaidi?? ataongeza nini kikosini ambacho kante hana??
Striker wetu ninaemuamini ni olivier giroud kwa sasaTunahitaji striker kwakweli. Morata+T. Abraham bado kabisa.
Luiz akae bench yuko christiensenAzpillicuta yuko vzur kulia, tatizo ni pale katikati, Luiz hajaelewana vzur na Ludiger
Huyo haaminiki sana. Sema ana afadhali kuliko Morata. Labda Batman anaweza kutusaidia.Striker wetu ninaemuamini ni olivier giroud kwa sasa
C uliona jinsi pogba na kante walivyocheza france ndo itakua the same pale kati
Bakini naye nyinyi wenyewe,kwani nyinyi hamumtaki mbona kipa mzuri tu eeeehhh.,!!Loris Karius Mukiongea na Liverpool Kwa Sasahivi Mutampata Kwa £7m anaweza Kuwasaidia Sana tu.
Kwanza Bado umri wake Ni Mdogo Ataboreka Zaidi.
Haina Haja Ya Kupoteza Mamilioni ya £ wakati Kipa Wa Bei Rahisi Yupo.
😀😀
Duh watu wanahasira aisee..!!watu kama kina curtois na Diego Costa ndo dawa yao,weka bench hadi mikataba yao iishe kudadeki!!
Mateo Kovacic medical
Mateo Kovacic will have a medical at Chelsea today after an agreement was reached with Real Madrid over a loan move.
Kovacic refused to train at Real this week in a desperate bid to force an exit - a request that has now been granted.
Maurizio Sarri will play the Croatia international as part of a midfield three alongside Jorginho and N’Golo Kante.
An announcement that a deal has been done is expected imminently, after Kovacic has carried out an interview with the club’s official TV channel.
Mateo ndiyo anasubili subKama Ni Kweli inamaana Fabregas, Drinkwater na Barkley wasubiri Carabao tu tena.
Vyovyote vile ni afadhali kuwa na benchi zuri. Sio wachezaji 11 halafu walioko sub ni kimeo woteKama Ni Kweli inamaana Fabregas, Drinkwater na Barkley wasubiri Carabao tu tena.
Drinkwater anaweza kwenda Westham ila Barkley yuko kwenye mipango ya kochaKama Ni Kweli inamaana Fabregas, Drinkwater na Barkley wasubiri Carabao tu tena.