ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
We jamaaa acha utani na sisi aiseeeLoris Karius Mukiongea na Liverpool Kwa Sasahivi Mutampata Kwa £7m anaweza Kuwasaidia Sana tu.
Kwanza Bado umri wake Ni Mdogo Ataboreka Zaidi.
Haina Haja Ya Kupoteza Mamilioni ya £ wakati Kipa Wa Bei Rahisi Yupo.
😀😀