Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Chanzo kikuu cha kumbadilisha Conte na kumleta Sarri ni kubadili uchezaji wa timu kutoka kakaba sana kuja kwenye utawala wa mpira. Yaan uongozi unataka mpira burudani.Huyu mzee anatuletea mambo ya ki-wenger wenger pasi nyiiiiiingiii goli empty,halafu bora amwanzishe bwana midevu kuliko huyu dogo tozi...
DEAL DONE: