Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kuna Mashabiki Wana Hasira Ya Kuuwa Mtu.
Ana miaka mingi Liverpool hadi Sasa....na sarri ana miaka mingapi Chelsea. Usiweweseke subiri uone ligi ikianza.Kama Hukumfahamu Alichomaanisha Ulikuwa Umuulize...
Klopp Kakuta Kigenge halafu sasahivi Ndiyo Kama unvyomuona Ananunua Wachezaji ili Kugeuza Kigenge Kiwe timu...
Kwahiyo Bado Anatengeza Timu Kwa Kununuwa Wachezaji Wa Kuziba Nafasi Muhimu...
Akishamaliza Kutengeneza timu ndiyo uanze Kumjudge Kwa Kutokubeba Kombe.
Hujawahi kujiuliza ilitokeaje Victor Moses na Willian wakapata namba wote kwa pamoja kikosi cha kwanza?Simjui Jorginho vizuri, but naona ni 6, sasa najiuliza yeye na Kante nani zaidi?? ataongeza nini kikosini ambacho kante hana??
Hujawahi kujiuliza ilitokeaje Victor Moses na Willian wakapata namba wote kwa pamoja kikosi cha kwanza?
Sasa ndo ujue Kocha anaweza kuwatumia pamoja. Mfano 4 1 2 3 Kante anacheza nyumba ya Barkley na Jogihnomfumo uliwabeba
Ni ujinga kwako ila ni akili kwa anayetoa pesaKumnunua kipa kwa hizo hela ni ujinga
Sasa ndo ujue Kocha anaweza kuwatumia pamoja. Mfano 4 1 2 3 Kante anacheza nyumba ya Barkley na Jogihno
Juzi pamoja na kikosi chetu hicho mnachokiponda kimenyanyua kwapa kwa Kuchukua FA Cup. Je Liverpool imeondoka na Nini wakati ilikuwa Bora kuliko Chelsea?
Huu mwaka wa ngapi mkuu mko na klopKama Hukumfahamu Alichomaanisha Ulikuwa Umuulize...
Klopp Kakuta Kigenge halafu sasahivi Ndiyo Kama unvyomuona Ananunua Wachezaji ili Kugeuza Kigenge Kiwe timu...
Kwahiyo Bado Anatengeza Timu Kwa Kununuwa Wachezaji Wa Kuziba Nafasi Muhimu...
Akishamaliza Kutengeneza timu ndiyo uanze Kumjudge Kwa Kutokubeba Kombe.
Sasa ndo ujue Kocha anaweza kuwatumia pamoja. Mfano 4 1 2 3 Kante anacheza nyumba ya Barkley na Jogihno
Huu mwaka wa ngapi mkuu mko na klop
Bado mnajenga team?
Unavyowaambia utafikiri na wao wanahusika ktk kutoa maamuzi dahSikilizeni Nyinyi! Huyo Courtois Wapigeni Real Kwa £80m, Halafu Nyinyi Munatoa £70m Munamchukua Oblak Wa Atletico hapo Mutakuwa Mumesha tengeneza Faida ya £10m.
Vikombe mtavisikia tuHuu Ni Mwaka Wa 3½ bado Klopp anaendelea Kuijenga Timu na inaweza Chukua Hata Miaka 5 ndiyo Kukamilika Kutokana na Hali aliyoikuta Kwani Haikuwa Timu ya Kuongeza Wachezaji 2 au 3 Bali Ni Matengenezo Ya Kutafuta Wachezaji wote 11 wapya na Marizavu wake Kutokana na Kikosi Fake alichokikuta.
Na Sasahivi Kama unavyoona Alianza Mafoward Kuwatafuta Kina Mane, Salaha na Xhaqiri, Kaja Mabeki Kuwaleta Kina VVD, TAA na Robertson, Kaja Viungo Kawaleta Keita na Fabinho, Kaja Kipa Kamleta Alisson, Sasahivi Bado Mbadala Wa Lovren na Henderson pamoja na Rizavu Wawili Timu itimie Kutengenezeka.
Sasa usifikirie Wachezaji Wote hao Unaweza ukawaleta Kwa Msimu mmoja au Miwili.. Ni lazima Kocha Ahitaji Misimu 4 au 5 ndiyo uweze Kutengeneza.
Kama Hukumifahamu hapa nadhani Sina cha Kukusaidia.
Azpillicuta yuko vzur kulia, tatizo ni pale katikati, Luiz hajaelewana vzur na Ludigermashaka yang yako kwenye mabek wa pemben wanapoteana kinoma an