Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kepa
Instagram%20post%20by%20%D8%B9%D8%A7%D8%B4%D9%82%20%D8%A7%D9%84%D8%A8%D9%84%D9%88%D8%B2_BmPzsQ.jpg
 
Tungempata mshambuliaji wa kati ingependeza leo
Ila matumaini yangu kwa Giroud kama tukikosa kabisa
 
Hakuna haja, Michu, Odoi, Giroud na Dada Morata watasaidia sana.

Hope hazard atabadirishiwa majukumu kidogo afanye attacking.
 
Wapenzi mashabiki wa English Premier League (EPL) ndio hiyo iko kwa hewa ni masaa 23hrs pekee turudi kwa msimu mpya

First Epl
Man U Vs Leister City 11jioni

Sasa tuanzie na usajiri wetu na yajayo yanafurahisha kabla ya saa 12jioni dirisha la usajiri litakapo kuwa linafungwa.

OFFICIAL: CHELSEA YAMSAJILI KEPA ARRIZABALAGA KWA RECORD YA DUNIA €80M HUKU MATEO KOVACIC AKITOKEA REAL MADRID KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA.

Baada ya speculation za mwezi mzima kuhusu hatima ya hatima ya goalkeeper Thibaut Courtois, Chelsea imevunja kibubu na kumnasa Kepa Arrizabalaga kutoka pale Athletic Bilbao kwa adda ya uhamisho kiasi cha €80 million sawa na (£71.5M).

Kepa mwenye umri wa miaka 24 amesign kandarasi ya miaka saba kukipiga pale Stamford Bridge

Mchakato mzima wa kumnasa Kepa, haukuwa na negotiations yoyote katika ya cfc na Athletic, Chelsea imeamuwa kulipa buyout clause na kumalizana nao japo ni expensive.

Kijana Arrizabalaga, alizaliwa umbali wa 60km nje kidogo ya Bilbao, na amekuwa na Athletic tangia akiwa na miaka 10, amekipiga katika kikosi cha vijana na amekwenda kwa mkopo misimu kadhaa kabla ya kurejea kikosini na kuchukua gloves za veteran Gorka Iraizoz, ambae amekuwa akilinda post tangia mwaka 2007, almost 400 appearances katika club.

Arrizabalaga amekwisha weka clean sheets 15, na amesha concedes mabao 65 katika games 53 za league akiwa na Athletic, huku team ikimaliza nafasi ya saba ama ya kumi na sita. So itakuwa fair tukisema kuwa hakuwa analindwa na defence nzuri.

Welcome, Kepa & Kovacic'. Let’s win some things!
IMG-20180809-WA0010.jpg
IMG-20180809-WA0020.jpg
 
Hapana kwa masaa haya 3 yaliyobakia kuna miujiza inakuja kutokea kwani Fakir yuko angani wa kuja kumalizana na The Blues
 
Ila kumuondoa Mitchy na kumuacha Tammy bado sijawaelewa aisee..
 
Wapenzi mashabiki wa English Premier League (EPL) ndio hiyo iko kwa hewa ni masaa 23hrs pekee turudi kwa msimu mpya

First Epl
Man U Vs Leister City 11jioni

Sasa tuanzie na usajiri wetu na yajayo yanafurahisha kabla ya saa 12jioni dirisha la usajiri litakapo kuwa linafungwa.

OFFICIAL: CHELSEA YAMSAJILI KEPA ARRIZABALAGA KWA RECORD YA DUNIA €80M HUKU MATEO KOVACIC AKITOKEA REAL MADRID KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA.

Baada ya speculation za mwezi mzima kuhusu hatima ya hatima ya goalkeeper Thibaut Courtois, Chelsea imevunja kibubu na kumnasa Kepa Arrizabalaga kutoka pale Athletic Bilbao kwa adda ya uhamisho kiasi cha €80 million sawa na (£71.5M).

Kepa mwenye umri wa miaka 24 amesign kandarasi ya miaka saba kukipiga pale Stamford Bridge

Mchakato mzima wa kumnasa Kepa, haukuwa na negotiations yoyote katika ya cfc na Athletic, Chelsea imeamuwa kulipa buyout clause na kumalizana nao japo ni expensive.

Kijana Arrizabalaga, alizaliwa umbali wa 60km nje kidogo ya Bilbao, na amekuwa na Athletic tangia akiwa na miaka 10, amekipiga katika kikosi cha vijana na amekwenda kwa mkopo misimu kadhaa kabla ya kurejea kikosini na kuchukua gloves za veteran Gorka Iraizoz, ambae amekuwa akilinda post tangia mwaka 2007, almost 400 appearances katika club.

Arrizabalaga amekwisha weka clean sheets 15, na amesha concedes mabao 65 katika games 53 za league akiwa na Athletic, huku team ikimaliza nafasi ya saba ama ya kumi na sita. So itakuwa fair tukisema kuwa hakuwa analindwa na defence nzuri.

Welcome, Kepa & Kovacic'. Let’s win some things!View attachment 831044View attachment 831045
Nice to hear this
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom