Tangu aondoke Eminalo usajili Chelsea umekuwa wa hovyo sana.Usajili wa CFC huwa hovyo
Lakin pale Madrid alikuwa benchi...Mateo sio mtu wa bench anaanza moja kwa moja
UjielewiKesho Ni Deadline ya Kufungwa Dirisha la Usajili!! Sasa Kila Timu inafahamu Kuwa Chelsea inahitaji Kipa Kwa Haraka.
Ole wake Kesho Moja Chelsea itake Kuforce Move Kwa Kipa Yoyote yule!!! Ni lazima Watapigwa Kwa Bei ya Juu wakati Wanajuilikana Wanashida ya Kipa na Ni Siku ya Mwisho ya Usajili.
Golovin alitaka ahakishiwe nafasi ya kucheza first eleven kitu ambacho Chelsea ilishindwATangu aondoke Eminalo usajili Chelsea umekuwa wa hovyo sana.
Yule mama kazi imemshinda kabisa, hajui mpira hajui chochote ..mf tu usajili wa Bakayoko, morata.. hakuna chochote walicholeta kwenye timu mpk sasa.
Usajili wa Lukaku chini ya eminalo ulifikia ukingoni kabisa, lakin baada ya kuacha kazi lukaku yko manure ..Alexandra Golovin tumemtaka sana ..Eminalo kashafanya yake uko Monaco
Sisi kinachotukosti ni hatuna technical director mzuri, niliskia wanampa Ballack..sa sjajua imeshia wapi.
Hata Bosquet au Kelvin Drbtuin akienda Madrid atakula benchLakin pale Madrid alikuwa benchi...
Jembeee jemneekaaaaChelsea wamevunja rekodi ya dunia katika ununuzi wa mlinda lango kwa kumnunua kipa, Kepa Arrizabalaga kutoka klabu ya Athletic Bilbao ya Uhispania kwa £71m.
Mlinda lango huyo mwenye miaka 23 amesaini mkataba wa miaka 7 ili kujaza nafasi ya Thibaut Courtois ambaye anakaribia kukamilisha uhamisho wake kutoka Stamford Bridge kwenda Real Madrid ya Uhispania.View attachment 830704
Hapa chini Makipa wamelinganishwa kwa kuangalia msimu wa 2017/18
View attachment 830705
Huyu Kipa najua anasifika sana na nimemuangalia Youtube yuko vizuri japo naona kwenye kushughulika na krosi shida kidogo.......Bulka nimeangalia mechi zake 3 zote za pre-season msimu huu na yeye ni mzuriHuyu kipa na madogo tulionao...nani ni bora zaidi!??
Ujielewi
Chelsea wamevunja rekodi ya dunia katika ununuzi wa mlinda lango kwa kumnunua kipa, Kepa Arrizabalaga kutoka klabu ya Athletic Bilbao ya Uhispania kwa £71m.
Mlinda lango huyo mwenye miaka 23 amesaini mkataba wa miaka 7 ili kujaza nafasi ya Thibaut Courtois ambaye anakaribia kukamilisha uhamisho wake kutoka Stamford Bridge kwenda Real Madrid ya Uhispania.View attachment 830704
Hapa chini Makipa wamelinganishwa kwa kuangalia msimu wa 2017/18
View attachment 830705
Sasa hivi mchezaji wa kawaida sana anakuwa na bei kubwa kweli. Huyu Kepa January alikuwa anunuliwe na Madrid kwa £20m lakini hakununuliwa.Dah! Kwa Market Hii niwazi Kuwa Hatobaki Mtu Salama!!!
Liverpool Alinunua Kipa Alisson kwa £65m haijafika Hata Mwezi Mmoja rekodi inavunjwa means Next season Kipa atacheza na £100m ...
Sasa Ni Wakati Huu Wa Kutayarisha Makipa Kutoka Academy..
Liverpool kanunua Beki Kwa £75m ikaonekana Ni ghali!! Sasa Beki Wa Kawaida tu Kama Maguire Timu zimemtaka zimeshindwa Kumnunu Jamaa Wanataka £80m.
Nadhani Baada Ya Misimu Miwili tu Tutajengeana Heshima Manake Wale Real na Barcelona waliokuwa Wakituchukulia Wachezaji Wetu Kwa Soko litakavyokuwa Hawatoweza tena Bali Watasubiri mpaka wamalize mikataba Kama walivyofanya Kwa Courtoise.
Yes au watakua wanaingia subKama Ni Kweli inamaana Fabregas, Drinkwater na Barkley wasubiri Carabao tu tena.
Hahaa.. Ni hatari mzee. Sema hatuna namba ya 09 ya uhakika
Kulingana na wachezaji waliokuwepo ilibidi awe anaanza benchi. Una Casemiro, Modric na Kroos unaanzaje kuwaacha nje hao.Lakin pale Madrid alikuwa benchi...
#WelcomeKovacic #CFC #Chelsea