Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

New Kit ya Yellow na Blues zinapatiana kwa Bei gani Semi-Original? Mwenye nazo kwa Dar anichek kwa 0682980400

Nenda Maduka Ya Kariakoo Nakuhakikishia Wachina Tayari Washasambaza Mzigo.

Ukitaka Ya Kiingereza basi Kwa Bongo Hii usitegemee.
 
Kumpata mateo kovacic utakuwa usajili bora sana
Chelsea pia watoe pauni milioni 89 kuvunja mkataba wa jan oblack
Utani na nafasi ya goalkiper hautakiwi kabisa
 
Kumpata mateo kovacic utakuwa usajili bora sana
Chelsea pia watoe pauni milioni 89 kuvunja mkataba wa jan oblack
Utani na nafasi ya goalkiper hautakiwi kabisa

Kwani mbio za kumsaka Butland zimeishia wapi?
 
Real Madrid wameacha kuwasajili De Gea & Allison kwa sababu ni expensive kuliko TBO
TBO mwenyewe anataka kwenda Madrid na aligoma kuongeza mkataba ,mkataba wake unaisha June 2019 so wakizembea ni kwamba ataenda Madrid free msimu ujao ndio maana Real Madrid hawana pressure
TBO kwetu hana gharama ndiyo maana kwetu ni bora tumalize naye msimu aende tutafute kipa taratibu
 
Oya mi nahama ili chama naenda manure nikatafute vikombe najua kwa sarri tutasubiri sana nakuumia
 
A right winger who scores goals is still a must as it looks like we aren't bringing in the goalscoring forward.
 
Eden Hazard on Ruben -

“Ruben is a fantastic player. He is still young, of course, but I think if we can have him in the team this season it’s a plus for everyone.

“I know his quality. He is young, he is powerful. The future will be top for him.”
 
Chelsea to sign Mateo Kovacic?

‘He wants to leave Real Madrid, Chelsea is the club most interested in him at the moment’ - Di Marzio staff.

‘Sarri wants Kovacic, he wants to leave’ - Sport Italia. https://t.co/6EQgv2xm9M
 
Kumpata mateo kovacic utakuwa usajili bora sana
Chelsea pia watoe pauni milioni 89 kuvunja mkataba wa jan oblack
Utani na nafasi ya goalkiper hautakiwi kabisa

Loris Karius Mukiongea na Liverpool Kwa Sasahivi Mutampata Kwa £7m anaweza Kuwasaidia Sana tu.
Kwanza Bado umri wake Ni Mdogo Ataboreka Zaidi.
Haina Haja Ya Kupoteza Mamilioni ya £ wakati Kipa Wa Bei Rahisi Yupo.
😀😀
 
IMG-20180807-WA0003.jpg
 
Loris Karius Mukiongea na Liverpool Kwa Sasahivi Mutampata Kwa £7m anaweza Kuwasaidia Sana tu.
Kwanza Bado umri wake Ni Mdogo Ataboreka Zaidi.
Haina Haja Ya Kupoteza Mamilioni ya £ wakati Kipa Wa Bei Rahisi Yupo.
😀😀
Nyie wenyewe mmeingia sokoni kumpata Alison beca huyo Karius hamjaona umuhimu wake. Halafu unatuambia sisi tumchukue huyo. Kwanza huyo Karius anaziba nafasi ya nani pale. Lazima aje bora kuliko anayeondoka.

Una matani wewe. Si bora tukamchukue Butland tu.
 
Loris Karius Mukiongea na Liverpool Kwa Sasahivi Mutampata Kwa £7m anaweza Kuwasaidia Sana tu.
Kwanza Bado umri wake Ni Mdogo Ataboreka Zaidi.
Haina Haja Ya Kupoteza Mamilioni ya £ wakati Kipa Wa Bei Rahisi Yupo.
😀😀
Goalkiper mzoefu ndio chelsea tunatafuta sio mradi goalkiper
Huyo bakini nae Alison akiumia awe msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom