Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

No shame in admitting we were totally outplayed, that's how one improves.

Positives:
- More comfortable and composed when in possession
- Hudson Odoi
- To a lesser extent, Drinkwater

Negatives:
- Not doing anything with possession
- Alonso
- Fabregas
- Morata
- Barkley (he could do so much more)
- Pressing. Sarri's system is based mostly on pressing and also quick transition, that is something the players will need to work on. Pressing in cohesion and aggression and moving the ball faster.

Jorginho needs a ball winning midfielder beside him, today he had to do double work, that'll be fixed once Kante returns. However, there is a crazy need for a goalscoring midfielder who can make late runs.

Honestly, I wouldn't mind a trophyless season if we can get a philosophy or style of play that we could be identified with. Fans can be so demanding at times.
Look at Pep in his first season with City, it wasn't good but now you're seeing what he can do.
 
Tuwe wakweli tu

msimu huu hatuna kikosi cha mapambano, kocha mwenyewe anajua kuvuta sigara tu, sitarajii makubwa kutoka chelsea
 
Wakimuuza Hazard basi biashara imekwisha
Na ndio maana wanapambana abakie, Kotua kashasema hataki kubakia wanachelewesha kutoa majibu, Roman sijui ameingiliwa na nini

bifu la Russia na England limemuharibu huyu jamaa, kama vipi auze timu kwa wale wachina tu
 
Na ndio maana wanapambana abakie, Kotua kashasema hataki kubakia wanachelewesha kutoa majibu, Roman sijui ameingiliwa na nini

bifu la Russia na England limemuharibu huyu jamaa, kama vipi auze timu kwa wale wachina tu
Acha kulalamika wee
Unafikiri kuuza timu ni swala la kukurupuka
Kwa hiyo auze kisa tumefungwa 2 na man city
 
Sarri amefanya vitu tulivyovimisi sana kutoka kwa Chelsea. Kuna wakati tulianza kusahau mifumo nje ya 3:4:3(mabeki watatu, viungo wanne ila wawili wa pembeni wanamajukumu ya ulinzi ushambuliaji, na washambuliaji watatu wa mbele) ila wakiwa na majukumu kutokana na mahitaji ya Mwalimu. Sasa 4:3:3 inaweza kuwa rafiki kwa wachache(rafiki yangu Victor Moses hapa tutakujadili upya kijiweni)....

Tulishasahau namna Ceser Azpilcueta alivyokuwa maridadi akitokea pembeni kulia(namna alivyokuwa akimwaga maji golini), kabla ya Kuhamishiwa pembeni kushoto(ambapo alikuwa akitiririka zaidi kupandisha timu) na baadae akajijengea makazi katika ulinzi wa kati(ndio wakati alikuwa mtu wa ku clear mistake imedietly).
Lakini pia tulishasahaulishwa kwa makusudi uwepo wa David Luiz pale darajani(hapa Chelsea walianza kuzoea kuishi na kujenga imani juu ya muungano wa utatu wa Rudiger, Christiansen na Azpilcueta).

Lakini pia tulisha sahau ule ubora wa Barkley kunako ligi kuu ya kiingereza(huu ndio ulikuwa utambulisho wa kuiunga mkono ile kauli yake ya kujisikia yupo nyumbani Darajani). Pengine kukosekana kwa Mwenye dimba lake(mfalme Kante) kumetoa mwanya pia kwa muundo mpya zaidi katika idara ya kiungo cha Chelsea katika mchezo huu wa ngao ya hisani.

Uwepo wa Cullum Hudson Odoi kuna kitu harufu ya utamu japo ule upande anaotumika wakati huu mwenye nyumba(Hazard) akiwa mapumziko ni kazi sana kuendelea kuuzoea wakati wa kazi. Kijana ana kila kitu kwenyw miguu yake, pengine mwenye nyumba(Hazard) anaweza kujakumuongezea vichache vilivyobaki ili awe mbadala katika upande ule....

Sari alikuwa huru sana kutema moshi wake kwa wahuni wa Napol, hapa alijiamini mbele ya wauwaji wake(Mertens, Insigne, Calejon, Hamsik)...... Huu ni muda wake kukaribishwa vizuri kwenye ligi kuu ya kiingereza..... Kama kuna kazi kubwa kwake basi sik kumbadilishia namba mgongoni Alvaro Morata(9 to 29)... Bali ni kumrudishia yale makali yake ya awali.

Dhidi ya Manchester City kuna wakati unaiona Chelsea kwenye ule utamaduni wake na kuna muda unaona effect za Kitu kipya ndani ya mchezo wa Chelsea...... Pengine kuanzia wikiend nyingi zijazo tunaweza kuwa na mengi yakusema.

Karibu Sarri.....
 
Huyu mzee anatuletea mambo ya ki-wenger wenger pasi nyiiiiiingiii goli empty,halafu bora amwanzishe bwana midevu kuliko huyu dogo tozi...
 
Hatunyanyui ndoo mkuu labda futuhi tunaweza kupata...mi nauchukia sana mpira wa pasi nyingi!!!!

Bila Shaka Hapa Mumepata New Version ya Wenger.... Pasi Nyingi na Unadominate possession Lakini unaishia Kufungwa.
 
Dah kwa kosi letu ivi lilivyo dogo, cjui Kama tutabeba ndoo yeyote msimu huu

Depth ya Chelsea squad bado iko vizuri kulinganisha na top 6 ukiondoa ManCity.
Cha msingi kocha anatakiwa awazuie Curtois na Hazard wasiondoke
Hata LeRoy Sane kasema timu wanayoihofia ni Chelsea tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom