Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tu
Tupe na wengine
Link hiyo na chanel ni hiyo pia App
20180805_175637.jpg
 
Naomba kuuliza kwa nn hazard na kipa xortour hawapo leo.ni majeruhi au
Kutokana na kucheza katika kombe la dunia hadi hatua za mwishoni.....walipewa muda wa kupumzika na walitakiwa kurejea kikosini ijumaa hii...japo Hazard aliomba kurejea jana
 
Half time; Manchester City wanaongoza moja

Naona tu tunajaribu kweli kumiliki mpira bila ya kujua tunaendaje mbele kufunga....beki wa kati Rudiger na Luiz bado hawajaelewana vizuri naona wanashindwa kuwasogelea na kuwazui wapinzani wanawakimbiza tu
 
Dakika 59' minutes: Chelsea 0 - 2 Man City

Sasahivi Maurizio Sarri ataanza kukiona Kutoka Kwa Plastic Fans wenye hasira ambao tuliwaambia Sarri si Kocha Wakatubishia 😀😀😀
 
hapa kuna tatizo kwenye central midfielder... Fab hawazicheza kama no 6...hakabi...
 
Stats at 62' minutes.

Shots On Target: Chelsea 1 - 4 Man City

Shots Off Target: Chelsea 2 - 3 Man City

Goals: Chelsea 0 - 2 Man City

Possession: Chelsea 53 - 47 Man City

Sarri ameuchukua Kwa 100% Mpira Wake Wa Napoli passi nyingi magoli hamna 😀😀😀
 
Half time; Manchester City wanaongoza moja

Naona tu tunajaribu kweli kumiliki mpira bila ya kujua tunaendaje mbele kufunga....beki wa kati Rudiger na Luiz bado hawajaelewana vizuri naona wanashindwa kuwasogelea na kuwazui wapinzani wanawakimbiza tu
Aiseee na kule mbele akuna uelewano kabisa yaani combination mbovu sijui takuaje leo
 
Dakika 59' minutes: Chelsea 0 - 2 Man City

Sasahivi Maurizio Sarri ataanza kukiona Kutoka Kwa Plastic Fans wenye hasira ambao tuliwaambia Sarri si Kocha Wakatubishia 😀😀😀
Kwa kweli mm nilikua namtaka Luis Enrgue
 
Hakuna Nuhusi Kama Kuanza Msimu Kwa Kipigo... Na ikumbukwe Kuwa Comuunity Shield Ndiyo unapoanzia Msimu 😀😀
 
Hakuna Nuhusi Kama Kuanza Msimu Kwa Kipigo... Na ikumbukwe Kuwa Comuunity Shield Ndiyo unapoanzia Msimu 😀😀
Acha uzushi wewe mbona Chelsea ilishaanza msimu kwa kipigo na ikachukua ubingwa na hata man u pia walianza kwa kipigo na wakabeba ubingwa wewe na Liverpool ya ubingwa mtabaki kuusikia tu toka ianze kuitwa EPL ujawai kulibeba npaka leo hii
 
Nakushukuru Kwa Mipasho yako iliyopendeza coz Mimi hapana sehemu niliyosema Chelsea haibebi Kombe kisa imefungwa leo
 
FT Stats

Shots On Target: Chelsea 1 - 8 Man City

Shots Off Target: Chelsea 3 - 6 Man City

Kwa Stas hizo Sijui Kocha aliwaelekeza wachezaji Uwanjani Wakafanye Nini! 😀😀
 
Wazee wa Chelsea mpooo?, naona club letu bado halipo okay
 
wachezaji walikuwa wameuchoka mfumo wake na timu nyingine zilimjulia akakosa mawazo mapya.
Ilikuwa lazima aondoke kupandisha morali wa timu na mashabiki kuiamini timu tena.
Bora angebaki kuliko uyo Sarri ..

Angalia mautumbo tuliofanya leo..
 
Dah kwa kosi letu ivi lilivyo dogo, cjui Kama tutabeba ndoo yeyote msimu huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom