Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Utafukuza makocha wangapi? Maana kila baada ya msimu moja tunafukuza kocha. Nadhami na bodi ya Chelsea nayo ijitazame kuna walakini katika suala zima la kuiendesha timu. Itafika wakati hata makocha watakuwa wanakataa kuj Chelsea fc si kwa sababu hakuna mshahara mzuri lakini kutokana na sera za mwenye timu/bodi ya timu hivyo kupelekea kuharibu cv ya kila kocha ajae. Its too much now
Hata timu kama Manchester clubs, Liverpool, Tottenham wamekuwa na subira na makocha wao na bodi kutoa full sapport katika nyakati zote nzuri na mbaya. Lakini kwa Chelsea fc timu ikianza kuboronga tu presha inapelekwa kwa kocha kuanzia vyombo vya habari kuwa kocha hamalizi msimu, bodi inajitenga, wachezaji baadhi ndo hivyo tena, shit
Hatuwezi kuwa arsenal,liver na man u wamechukua ubingwa mara nyingi sisi tukatae tukubali tunataka ubingwa tu ili tuhesabike Kama team kubwa, man u hata wasipochukuwa epl 5 yrs hawaoni ajabu, liver wala kwao sio priority, spurs na arsenal epl kwao ndoto, Sisi haipaswi misimu mitatu kupita, kocha akizingua atimuliwe kabisa
 
Uzuri wa Chelsea wakivurunda mwaka huu mwakani kombe ni wazi, nyie wengine wasindikizaji tu mpaka dunia iangamie
Lkn mkuu kumbuka wakati tunatoka mwaka uliofuta hatukuwa na michuano yoyote ya ulaya. Kwa sasa tutakuwa tukicheza Europa na ni vigumu kuchukua ligi hasa ukiangalia viwango wa wachezaji wa timu pinzani hasa Man City, Liverpool na Man U, Tottenham na hata Arsenal wana kikosi kizuri kwa sasa
 
Lkn mkuu kumbuka wakati tunatoka mwaka uliofuta hatukuwa na michuano yoyote ya ulaya. Kwa sasa tutakuwa tukicheza Europa na ni vigumu kuchukua ligi hasa ukiangalia viwango wa wachezaji wa timu pinzani hasa Man City, Liverpool na Man U, Tottenham na hata Arsenal wana kikosi kizuri kwa sasa
Kwani mwakani Chelsea itakuwa hii hii?. Wako wengi wataondoka, usajili mpya utafanyika. Kocha mpya, timu mpya na ligi mpya ndivyo itakavyokuwa mwakani
 
César Azpilicueta aliahidi leo kumuenzi marehemu Ray Wilkins kwa ushindi na ameanza kipindi cha kwanza kwa kuonyesha njia
 
Daaah hata WHU kwenu bado mnategemea refa awabebe?Hivi kuna tatizo gani Chelsea jamani?
Maana ile ya Chicharito ni penalty ya wazi kabisa,ilikuwa mnalala kwenu!!
 
Dakika ya 87' 1-1


Haya ndiyo matatizo ya Baadhi Ya Watu Kuanza Kuipenda Timu Kwa Kuona imechukua Kombe!
Timu inapokuwa Katika Wakati Mgumu Wote Huikimbia.

Leo hii mumebaki Nyie Wawili tu Kwenye Uzi.

Hongereni Angalau Kwa Kuonesha Kutokata Tamaa Katika Kipindi hichi Kigumu.


César Azpilicueta aliahidi leo kumuenzi marehemu Ray Wilkins kwa ushindi na ameanza kipindi cha kwanza kwa kuonyesha njia
 
In 2018 Chelsea has picked up just 12pts while Tottenham has picked 30pts!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom