Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Navyoijua Chelsea msimu kesho tunachukua ligi coz hatuna presha Na uefa

Kwa Chelsea ya Kina Moses, Drinkwater na Giroud au?

Manake Abramovic Kagoma Kuingia Sokoni Kwa World Class baada Ya Kuwekeza Kwenye Ujenzi Wa Uwanja Mpya!!!

Na Without Champion League usitegemee Kuvuta Wachezaji Nyota!
Hata Hazard Atawatoka Nduki.
 
Sidhani kama hiyo ni fact....
Kucheza uropa haiwezi kuwa sababu ya top players kutojoin kwenye klabu,,,,,,, tumeona kwa man u na hata asenali...kuna top players wamejoin na hata wengine wamesign contracts kuendelea kuzichezea klabu hizo.....as long as ni cheli kuna world class players wengi wanataka kuichezea hata kama itashiriki uropa..
Kwa Chelsea ya Kina Moses, Drinkwater na Giroud au?

Manake Abramovic Kagoma Kuingia Sokoni Kwa World Class baada Ya Kuwekeza Kwenye Ujenzi Wa Uwanja Mpya!!!

Na Without Champion League usitegemee Kuvuta Wachezaji Nyota!
Hata Hazard Atawatoka Nduki.
 
Kwa Chelsea ya Kina Moses, Drinkwater na Giroud au?

Manake Abramovic Kagoma Kuingia Sokoni Kwa World Class baada Ya Kuwekeza Kwenye Ujenzi Wa Uwanja Mpya!!!

Na Without Champion League usitegemee Kuvuta Wachezaji Nyota!
Hata Hazard Atawatoka Nduki.
Hahaa.. Kwani Liverpool ya kina Mane, Firmino na Salah imekupa kombe gani mzee.?
Na hamta chukua kombe lolote mpaka vijukuu vyenu vinakufa. Wamewapa tu magoli nyie. Teh !!
 
Hatujapotea ila tumeawaachia uwanja ili mmwage nyongo zenu kwanza sie tutakuja baadae kufanya masahihisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom