Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nilishangaa Sana Kuona Chelsea Kafungwa Darajani Kumbe ilikuwa Ni April Fool!!!!
Arsenal angeshinda gemu zote home angekuwa top four acha kubwabwajaArsenal haipigwi home hovyo hovyo
Arsenal angeshinda gemu zote home angekuwa top four acha kubwabwaja
😀😀😀😀😀😀Nilishangaa Sana Kuona Chelsea Kafungwa Darajani Kumbe ilikuwa Ni April Fool!!!!
Utafukuza makocha wangapi? Maana kila baada ya msimu moja tunafukuza kocha. Nadhami na bodi ya Chelsea nayo ijitazame kuna walakini katika suala zima la kuiendesha timu. Itafika wakati hata makocha watakuwa wanakataa kuj Chelsea fc si kwa sababu hakuna mshahara mzuri lakini kutokana na sera za mwenye timu/bodi ya timu hivyo kupelekea kuharibu cv ya kila kocha ajae. Its too much nowFukuza kocha sisi hatujazoea haya maisha



Tena nyie ndio wazoefu. Mnapigwa kama kenge vile.Arsenal haipigwi home hovyo hovyo
Tuache sisi tulishakufa muda mrefu tuuTena nyie ndio wazoefu. Mnapigwa kama kenge vile.
Tuache sisi tulishakufa muda mrefu tuu
Ukimuona shabiki yoyote wa Arsenal ujue nimzimu tuu
Soma comment hapo juu. Usiwe mbishi mbishi kijanaNazungumzia kupigwa pigwa hovyo sio kufungwa umesikia ww kifaranga...
Tena nyie ndio wazoefu. Mnapigwa kama kenge vile.
![]()
![]()
![]()
![]()
Soma comment hapo juu. Usiwe mbishi mbishi kijana
Hahaaa.. Nyie manungayembe jana mlikua mnaombea tufungwe ili kupunguza pointsMbege walizokunywesha spurs zinakulewesha bado
Na wewe kubali kauli ya mwenzako hapo juu.Kubali umekula pampu jana....

Hahaaa.. Nyie manungayembe jana mlikua mnaombea tufungwe ili kupunguza points
Na wewe kubali kauli ya mwenzako hapo juu.![]()
![]()
Upo huku?