Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Inauma team yako inapokuwa inafanya vibaya..chelsea kama team yangu..im speechless
 
FB_IMG_1523254729817.jpg
 
Chelsea itakabiliana na Southampton Jumapili katika mchuano wa wao wa nusu fainali ya Kombe la FA katika uwanja wa Wembley.

Meneja wa Chelsea Antonio Conte anasema klabu hiyo haistahili kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya iwapo haiwezi kuzishinda timu kama vile West Ham. Hii ni baada ya klabu hiyo kutoka sare ya 1-1 na West Ham. (Times)
 
Dah huu msimu round ya 2 ndo imeharibu kila kitu toka Dec 29 tuna point 51 leo April 11 point 57 kweli tunawakati mgumu
Mwaka kesho tutakuwa Europa maana top four tumeisha ikosa najiuliza sana tatizo msimu ubovu wetu n board, kocha au wachezaji ndo chanzo cha kuvurunda hivi?
 
Tatizo bodi mkuu
 
Tatizo bodi mkuu
Usimlaumu yule mama tangu zamani roma anamwamini sana wametoka mbali kwenye visima vya mafuta yeye ndiye alikuwa msimamizi wake wakuaminiwa na bwana mkubwa katika matumizi ya fedha ndipo akamua hadi kumleta darajani haujui mpira ila anajuwa kubana matumizi ya fedha hicho ndicho mpaka leo hata roma mkuu huyo wa body alaumiwe vipi anaziba masikio kutokana wametoka mbali
 
Bodi haikuwaondoa Costa na Matic,bodi haikumwambia Conte agombane Luiz
Conte alipo omba fedha za kusajili walimunyima na mkuletea watu wa kwao kama giroud alikuwa chaguo lake bali la body kwa sababu ya mama mmoja mkuda kwenye maswala ya fedha body haikumpa ushirikiano wa kutosha kocha pia swala luiz ni kama mchezaji anajiona yuko juu yako utamvumilia despline ni muhimu kila mahali
 
Tatizo kubwa la Chelsea msimu huu ni kufunga magoli,tuliwaambia ni kosa kubwa sana kumfukuza Costa mkasema Morata ni bora zaidi ataziba pengo

Conte alimtaka Morata bodi hiyo hiyo ikamletea
 
Bodi haikuwaondoa Costa na Matic,bodi haikumwambia Conte agombane Luiz
Hilo la Matic hata kocha alilizungumzia, hausika ktk kumuuchia.
Suala la Costa ni nidhamu, na kocha yeyote lazima asimamie nidhamu kwa wachezaji wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom