Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Mpira ni mchezo wa makosa na kosa unalolifanya mwenzio ndio anakuadhibu hapo hapo, Mess jana alikua bora sana.. 2 goals + One assist katika ushindi wa 3-0 alafu unauliza Mess kafanya nini kweli?
Kipa kafanya vibaya jana unasema afukuzwe game ya kwanza Christencen alifanya makosa nae kuna watu walisema apigwe bench, Game na City walisema kocha kazingua apigwe chini, sasa tutabaki na nani katika timu?
Kuna makosa ya team ikifanya then mna adhibiwa lkn sio kwa magoli yale ya jana!Yale mabao hata yy kipa kakubali kama kawa let down wenzake!
Kipa kwenye angle anatanua miguu?Tena mara mbili?
Bao la Dembele kaenda kama amateur,mpira kaufikia lkn hajakaza mikono!
Hakukuwa na kosa la team kwenye yale mabao ni kosa la kipa!
Yy na kipa wetu Mignolet hamna wa afadhali kwa mechi ya jana
tuonane mwakani.