Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Kwani morata ni beki!?No Striker no shot on target, KTBFFH
Kwani morata ni beki!?No Striker no shot on target, KTBFFH
Mkuu tulifungwa na Burnley, Palace na Bournemouth. Je hapo Liverpool, Man C na Man U walichangiajeShida mojawapo kubwa ya Chelsea ni mbele ndio maana timu inalemewa
Pia, kuimarika kwa mancity, manu, liv kumechangia kuiweka pabaya Chelsea ambayo haikufanya usajili wa maana kwa ajili ya msimu huu
Mm ninachokataa ni kumtwika kocha mzigo asiostahili yaani kumlaumu yeye hata asipostahili ila sijawahi kukaa Chelsea isinunue quality playersWatakuja kuiprove tu Unakumbuka uliwahi kuniambia hivi
Jibu post baada ya kuelewa. Au kama neno only linakuchanganya ulizaEndelea kuota
Ilete hiyo post hapa. Na hata akiimprove siyo leo. Kama hauna uwezo wa kuquote mti jitahidi usiquoteHivi si ulisema Barkley atakuwa mchezaji bora kuliko Lampard?
Umegusa penyewe mkuu,Bado nasubiri ila to be honest Chelsea is very poor. Na bodi inapaswa kulaumiwa kwa asilimia kubwa. We don't have players. Tunahitaji good replacement ya
John Terry
Lampard na
Drogba.
Drinkwater, Morata/Giroud, na hata Moses ni ovyo kabisa. Abramovich anatoa hela nyingi ila bodi inaishia kununua wachezaji wa mafungu(15M) nk tena Wengi wao wakiwa wanatoka vitandani na wengine wanakuja na majeraha yao mfano Bakayoko, Drinkwater, Emerson, Barkley, Giroud nk. Only Rudiger ndo mchezaji mwenye maana
Kwa jinsi timu inavyocheza hilo haliwezekani kabisa na inaonekana Conte mwenyewe anataka kuondokaJibu post baada ya kuelewa. Au kama neno only linakuchanganya uliza
Msalaba wa jumuia wa Guardiola umepokelewa darajani leo
Poleni watani lakini top 4 naamini mtaingia tu

Mzee mbona una hasira sana leoIlete hiyo post hapa. Na hata akiimprove siyo leo. Kama hauna uwezo wa kuquote mti jitahidi usiquote
Mkuu tulifungwa na Burnley, Palace na Bournemouth. Je hapo Liverpool, Man C na Man U walichangiaje