Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,534
- 32,757
ujue nyie chelsea bado siwaelewi ni kuzidiwa uwezo au kuna ka mgomo baridi? unawezaje kufungwa nje na ndani huo si ufala
Unless umeanza kucheck mpira msimu huu, hakuna kitu cha ajabu timu kungwa Home and away na potential league winnerujue nyie chelsea bado siwaelewi ni kuzidiwa uwezo au kuna ka mgomo baridi? unawezaje kufungwa nje na ndani huo si ufala
mkuu bado dakika 15 utabiri wako utimieForm aliyokuwa nayo Liverpool sasa hivi ni unstopable. Hata angekukuta gulioni angekuchapa sembuse OT? Chelsea condition moja tu inaweza kuiondoa top 4! Nayo ni kufungwa na Man City j2
Tangu mgogoro huo Luis amecheza mara tatu baada ya hapo akapata majeruhi. Usijari kujenga mawazo yako na kuyafanya kweliHata angekuwa sio majeruhi aliisha poteza namba baada ya ku question uwezo wa Conte siku mmefungwa na Roma CL!
Luiz May anaondoka kama Conte atabaki kuwa kocha
Bado nasubiri ila to be honest Chelsea is very poor. Na bodi inapaswa kulaumiwa kwa asilimia kubwa. We don't have players. Tunahitaji good replacement yamkuu bado dakika 15 utabiri wako utimie
Only Chelsea inaweza kuwa kwenye top four kwa kushinda mechi zote zilizobaki alafu iombe Tottenham ashindwe na Liverpoolmkuu bado dakika 15 utabiri wako utimie
Bado nasubiri ila to be honest Chelsea is very poor. Na bodi inapaswa kulaumiwa kwa asilimia kubwa. We don't have players. Tunahitaji good replacement ya
John Terry
Lampard na
Drogba.
Drinkwater, Morata/Giroud, na hata Moses ni ovyo kabisa. Abramovich anatoa hela nyingi ila bodi inaishia kununua wachezaji wa mafungu(15M) nk tena Wengi wao wakiwa wanatoka vitandani na wengine wanakuja na majeraha yao mfano Bakayoko, Drinkwater, Emerson, Barkley, Giroud nk. Only Rudiger ndo mchezaji mwenye maana
Watakuja kuiprove tu Unakumbuka uliwahi kuniambia hiviBado nasubiri ila to be honest Chelsea is very poor. Na bodi inapaswa kulaumiwa kwa asilimia kubwa. We don't have players. Tunahitaji good replacement ya
John Terry
Lampard na
Drogba.
Drinkwater, Morata/Giroud, na hata Moses ni ovyo kabisa. Abramovich anatoa hela nyingi ila bodi inaishia kununua wachezaji wa mafungu(15M) nk tena Wengi wao wakiwa wanatoka vitandani na wengine wanakuja na majeraha yao mfano Bakayoko, Drinkwater, Emerson, Barkley, Giroud nk. Only Rudiger ndo mchezaji mwenye maana
Hazard kachezeshwa kama lone striker, kagusa mpira mara 31 na hajagusa mpira ndani ya penalty box, huku Gundagon kagusa mpira zaidi ya mara 179 ambayo ni rekodi ya EPL tangu datas zilipoanza kukusanywa.No Striker no shot on target, KTBFFH
Endelea kuotaOnly Chelsea inaweza kuwa kwenye top four kwa kushinda mechi zote zilizobaki alafu iombe Tottenham ashindwe na Liverpool
Mkumbushe last season mliwafunga City home and away.Unless umeanza kucheck mpira msimu huu, hakuna kitu cha ajabu timu kungwa Home and away na potential league winner
Hivi si ulisema Barkley atakuwa mchezaji bora kuliko Lampard?Bado nasubiri ila to be honest Chelsea is very poor. Na bodi inapaswa kulaumiwa kwa asilimia kubwa. We don't have players. Tunahitaji good replacement ya