Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

5bab62bb39ed844d3e4151f971936c5b.jpg

Nasikia harufu ya kamgomo. Naona hata wachezaji hawakubaliani na hili swala la kuanza mechi bila namba 9.
 
Hahahaaaaa nimefurahi umezitaja timu za kawaida kabisa hujaiongelea timu bora kabisa EPL kwa miongo kadhaa
Umeanza kushabikia mpira Ngosha alipoingia madarakani. Ukabaki kusoma story za timu kwenye magazeti ya dimba na mwanaspoti
 
Namba 1 hadi 4 EPL tayari isha jipanga!
Nyie mtacheza Yuropa League mwakani,hongereni
 
Umeanza kushabikia mpira Ngosha alipoingia madarakani. Ukabaki kusoma story za timu kwenye magazeti ya dimba na mwanaspoti
Endelea kupambana na hali yako hakuna aliyekutuma kushabikia mitimu mibovu mtimu umelipuka tu kama ugonjwa wa ebola
Kwa taarifa yako mm nimeanza kufuatilia soka la kimataifa since 1994 kipindi hicho wewe upo kijijini kwenu unakunya kwenye poti pimbi wee
 
Sasa mbona unaongea vitu senseless. Huna cha maana unachochangia bagia wewe. Eti comment 4k za funia nzima au.? Tulia dawa ikuingie ukurutu wewe
 
Tujiandae na Europa mwaka kesho
Kwa nini?
Bado mechi tisa ya point 27 timu ikishinda yote

Fact #1: Chelsea Ikishinda zote na Spurs wakapoteza mechi mbili tutawapita kitu ambacho hakitatokea
Fact #2 Chelsea ishinde zote halafu Spurs watoe draw sita kati ya game 9 zilziobaki kitu ambacho hakitatokea
Fact #3: Chelsea Ikishinda 7 na Spusr wakapoteza mechi nne tutawapita kitu ambacho hakitatokea
Fact #4 Chelsea ishinde 6, tutoe draw 2 na kufungwa moja na Spurs washinde 4, draw 3 na washindwe 2 labda, fifty fifty wao au sisi

Mimi natoa probability kubwa kwenye fact no. 4 kwa kuchukulia mechi zilizo mbele ya Chelsea na Spurs
Kwa nini Spurs na sio Liv au Man U - Kuwakamata Spurs tuna kazi kubwa hao wengine ni kujidanganya
Ndoto za jioni
 
Fulham boss Slavisa Jokanovic has emerged as a surprise contender to take over at Chelsea if Antonio Conte leaves Stamford Bridge this summer

Tetesi

Miamba ya soka ya Ufaransa Paris St-Germain inamtaka Antonio Conte kuwa meneja wao.

Klabu za Chelsea na Real Madrid zinaongoza mbio za kumuwania mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski raia wa Poland mwenye miaka ya 29 ambaye yuko mguu ndani mguu nje.

Klabu ya Chelsea inapewa kipaumbele cha kunasa saini ya mlinzi wa Napoli, raia wa Senegal Kalidou Koulibaly mwenye umri wa miaka 26 anayewaniwa pia na klabu ya Arsenal na Manchester.
 
Tetesi

Mshambuliaji wa Bayern Munich,Robert Lewandowski yuko huru kuweza kujiunga na Real Madrid hata hivyo Chelsea pia wako mstari wa mbele kuhakikisha wanaoata saini ya mchezaji huyo raia wa Poland. (Bleacher Report)

Kiungo wa Chelsea Na Timu ya taifa ya Ufaransa Ngolo Kante amesema anavutiwa kidogo sana na kutaka kujiunga na miaka ya soka la Ufaransa .
 
Huko nyuma niliwahi kusema kwa kuguess labda Conte anatafuta kufukuzwa ili anufaike na bonus ya kuachishwa mkataba kwa vile kaon hana future Stanford Bridge

"...................There is a fear that Conte is deliberately challenging owner Roman Abramovich, even if it means getting sacked as a result, with the Italian happy to return to his homeland in the summer............................"

Soma hapa wengine wanasemaje: Chelsea players think Antonio Conte is deliberately trying to get himself sacked
 
Hapa Mutanyoosheana Vidole Kweli Lakini Ukweli Upo Wazi ila Munaufumbia Macho na Kuifanya Bodi Ya Chelsea Kuwa Ni Scapegoat ili Conte abaki Salama!

Ukweli Ni Kwamba Tatizo Kubwa linaloikabili Chelsea Katika Usajili si Bodi, Bali Ni Conte Mwenyewe!
1) Kwanza Kabisa Kakosa USHAWISHI Wa Kuwavuta Wachezaji Nyota.
2) Scouts Yake Ya Usajili Ni Mbovu na inahitaji Kuvunjwa iundwe nyengine.

Tazama Wachezaji Wazuri anaowataka na Anaishia Kuwakosa, Badala Yake Munatupia Lawama Bodi kumbe Wachezaji Wenyewe Hawataki Kucheza Chini Ya Conte.

√ VVD alitakiwa na Chelsea Akaikataa..
√ Lukaku nayeye Kaitolea nje kenda Man U.
√ Chamberlain Kaitolea Nje Kaja Liverpool
√ Matic Katimkia Man U
√ Court & Hazard dilemma

Hivi £58m mulizotoa Kwa Moratta Hapa Bodi inahusikaje Wakati Conte Angeweza Kununua Mchezaji Bora Zaidi Kwa Bei Chini ya Hiyo.

Klopp Kwa Ushawishi Wake tu Katumia £36m Kumnunua Sadio Mane..
Katumia £39m Kumnunua Mo Salah...
Katumia £40m Kumnunua Chamberlain...
Hao Wote Ni Wachezaji Wazuri ingawa Ni Underrated.

Lakini Conte anatoa Pesa Kama Hizo Kumnunua Kina Drinkmaji na Barkely ikisha munailaumu Bodi.

Hivi Hiyo £58m munahisi Huwezi Kupata Mchezaji Wa Maana?

Kubalini Kuwa Conte Ni Kocha asiye na ushawishi Hata Kidogo Wa Kuvutia Wachezaji Kuja Chelsea...
Na Iwapo ataendelea Kuitumikia Chelsea Next Season basi Atawasababishia Kupoteza Wachezaji Wenu Wote waliowazuri kama alivyofanya Matic.

Tatizo sio Conte, ila tatizo ni muda pale darajani Conte si muumini wa wachezaji wakubwa, kumbuka akiwa Juventsu na aina ya wachezaji aliokua nao wote ni average players lakini tifu walilolito ni balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom