Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona City leo wameamua kupaki mabasi
Chelsea VS Man City Lineup on 4 March 2018 EPL Match at City of Manchester Stadium.png
 
Tetesi

Arsenal na Chelsea watang'ang'ana kupata huduma zake Carlo Ancelotti kama meneja mwisho wa msimu. (Sunday Express)

Wing'a wa Brazil Willian, 29, anasema anataka kusalia Chelsea kwa muda mrefu lakin amekiri kuwa ataondoka ikiwa hawamhitaji. (Planeta SporTV via Express)
 
HT
City possession 77% Chelsea 23%
Passes City 550 Chelsea 142!

City kweli kapaki Bus
 
Kwa Kuwa kocha hataki kuelewa kuhusiana na Christensen atapoteza kila mechi dogo anafanya makosa mengi cahil mzoefu benchi yangu macho
 
Leo ndiyo mwisho wenu ktk mbio za kutafuta UCL football mwakani!
Mwakani mtacheza Yuropa !
Poleni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom