Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lakini mkuu mm nikiangakia kikosi cha Chelsea bado nakiona kama kikosi kitakacho fanya vizuri katika miaka 5 hii inayokuja.
Hivi angalia miaka yao:
1. Courtois 25
2. Rudigar- 24
3. Christensen- 21
4. Azpilicueta- 28
5. Moses - 27
6. Bakayoko- 23
7. Kante- 26
8. Drinkwater- 27
9. Ross Barkley- 24
10. Alonso- 27
11. Hazard-26
12. Morata- 25
13. Kennedy -21
14. Musonda- 21
15. Ampadu- ?
Ampadu 17
 
Tatizo mlitamba mno......subir kesho,..subir kesho...ss tukasema sawa......ikafika mwisho wa siku ka ulivyoona...mkapewa na tuta juu....
Naona kisingizio kimekuwa yule dogo wa Madrid.......
Nimejaribu kufuatilia post zenu kabla ya kombora la bellerin sijaona morata anapondwa kihivyo...nimeona Mara safi,cjui haters wamekuwaje.......
Ila mwisho wa siku kijana wa watu anabeba zigo lote......
Punguzeni unaaaaaa wana Chelsea......
Nyie mambwege EPL mtakuwa mnaiona kwenye picha tu Ila lile kombe aslani amtalibeba chini YA Wenger tena..... Mlitamba Sana mwa uhuu ampo uefa mnasuka timu YA kubeba EPL jiulize Sasa hovi upp nafasi YA ngapi na hakuna hata dalili YA kuinusa top 3
 
NORWICH CITY vs CHELSEA

Muda wa Mpira; 20:30 usiku saa za kitanzania

Key match stats - (supplied by Opta)
==============

Norwich have been eliminated in all four previous FA Cup ties against Chelsea, most recently in the fifth round in 2006-07.

Chelsea have progressed from 20 of their last 21 FA Cup ties against non-Premier League sides, with the exception their 4-2 defeat by Bradford in January 2015.

Steven Naismith has scored six goals in his last six matches against Chelsea in all competitions, including a hat-trick last time out in the Premier League in September 2015.

The Blues are unbeaten in 13 matches against the Canaries in all competitions (W10 D3) since a 3-0 defeat in December 1994 under Glenn Hoddle.

In domestic cup competitions for Chelsea against non-Premier League opponents, Michy Batshuayi has had a hand in nine goals in four matches (seven goals, two assists), averaging a goal or assist every 40 minutes.
 
Nyie mambwege EPL mtakuwa mnaiona kwenye picha tu Ila lile kombe aslani amtalibeba chini YA Wenger tena..... Mlitamba Sana mwa uhuu ampo uefa mnasuka timu YA kubeba EPL jiulize Sasa hovi upp nafasi YA ngapi na hakuna hata dalili YA kuinusa top 3
Mwa uhuu ndo nn mkuu..???...halafu top 3 inasaidia nn...nambie kitu anachokipata mtu wa tatu halafu asikipate mtu wa nne.......halafu ss si mabwege dadeq........halafu jaribu kupangilia sentensi zako zieleweke na kutumia lugha fasaha mtu akuelewe.....
 
Naskia rose Barkley ndani ya blues
a636b5a01dc391e7b00b1fbc959740b2.jpg
7aa463bc38500599f145a19cc48b8799.jpg

Official snapchat page ya Chelsea FC
 
Mwa uhuu ndo nn mkuu..???...halafu top 3 inasaidia nn...nambie kitu anachokipata mtu wa tatu halafu asikipate mtu wa nne.......halafu ss si mabwege dadeq........halafu jaribu kupangilia sentensi zako zieleweke na kutumia lugha fasaha mtu akuelewe.....
Kenge maji peleka ushabiki wako mahandazi kwenye jukwaa la arsenane...... Unazani hiyo ligi YA alhamis usiku mtaibeba kule mnadindikiza vijiwanaume..... Sisi tupo ligi YA wanaumeeee..... Nyambaf kabisa Nyie mpo upande wa kukosa milele kunyanyua kwapa mtakuwa mnatushangilia wenzenu.... Conte kaja ndani YA mwaka kalibeba Nyie Wenger mnaweka record YA kumzidi sir Alex mechi za kuifundisha timu... Na bado sir Alex amemzidi babu yenu kwa makombe, mech za kushinda na magoli YA kufunga... Pimbi nyie
 
Sijaelewa pointi yako msingi......ligi ya wanaume ipi na isiyo ya kiume ipi...??????....we mwisho kunifunga lini...????.....eti conte conte anasimamaje mbele ya Wenger..???...we huko uefa unapojisifia unajua unakutana na nan....??????
Inafaa utulie na domo lako....
 
Wakuu Michozo ni furaha, kutaniana na Wala so matusi. Sasa unapokuja kwenye jukwaa la wapenzi wa timu fulani na kukutana kwa kujumuisha wote sio sahihi. Ni utovu wa nidhamu kwa Jamii kwani hujui uliowajumuisha wamo kaka zako, dada zako, mama zako na baba zako.
 
Ukitaka kujua uwezo wa Ross Barkley tazama hii youtube video
Akikaa miaka minne tu Chelsea anaweza fikia au kuivunja record ya Frank Lampard. Ana uwezo wa kufunga magoli kutoka impossible angles
 
Nimeipenda pia hii comment
Ununuzi wa Ross Barkley ni wizi wa mchana Chelsea wameifanyia Evarton kwa soko la leo
"Ross Barkley seems to be a done deal! £15M is an absolute steal in today's market. Let's hope he turns out to be a good player for Chelsea"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom