lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Hii ni sawa na pumba. Barkley yupo majeruhi hata hajaanza kucheza. Unaanzaje kupinga ukweli huu. Muache acheze na timu mpya michezo kadhaa uje mwakani angalau December na upinge huu ukweli
Acha kujidanganya Barkley hawezi fikia hata nusu ya LampardHii ni sawa na pumba. Barkley yupo majeruhi hata hajaanza kucheza. Unaanzaje kupinga ukweli huu. Muache acheze na timu mpya michezo kadhaa uje mwakani angalau December na upinge huu ukweli
Anaweza asimfikie lakini hukumu ya nini kwa sasa wakati hata mchezaji hajaanza kucheza. Au Lampard alikuwa malaika asifikiwe. Kwenye mpira lolote laweza kutokea na rekodi zinawekwa ili zivunjweAcha kujidanganya Barkley hawezi fikia hata nusu ya Lampard
Lesta City wamepata golii etihad, Stoke wamepata Golii etihad, Soton wamepata Goli etihad, West Ham walioata golii etihad, CTY haina ukutaa ukipres high unapata golii lakinii conte kaamua kuweka nje staika wote wawili benchii.....bekii za City zimecjeza kwa kurelex hakuna wa kuwapa pressure, hilii naloo linahitaji bodii impangie!??Conte out





Hv we c ndo ulikuwa unatetea usajil wa wachezaj huku ukkisema tunahitaj mda mrefu wa kuwagroom hawa waliopo ili wafikie viwango vzuri??Bado nasubiri ila to be honest Chelsea is very poor. Na bodi inapaswa kulaumiwa kwa asilimia kubwa. We don't have players. Tunahitaji good replacement ya
John Terry
Lampard na
Drogba.
Drinkwater, Morata/Giroud, na hata Moses ni ovyo kabisa. Abramovich anatoa hela nyingi ila bodi inaishia kununua wachezaji wa mafungu(15M) nk tena Wengi wao wakiwa wanatoka vitandani na wengine wanakuja na majeraha yao mfano Bakayoko, Drinkwater, Emerson, Barkley, Giroud nk. Only Rudiger ndo mchezaji mwenye maana
Haya ni matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani huko kinondoni900+ passes. Hivi Man City walikua wanacheza na Lipuli auu?![]()
Hizo comments 4,000 ni za dunia nzima au unazunguamzia jamii forums-hebu fafanuaNimeamini kweli Chelsea nikatimu kadogo tena ka mfukoni mwa mtu yaani miaka yote hii tangia kaanzishwe mwaka 2003 kuna comment 4000+?? Hii aibu aisee
Humu ndani mkuuHizo comments 4,000 ni za dunia nzima au unazunguamzia jamii forums-hebu fafanua
Wachezaj wapo tatizo ni conte hataki kubadirka..... Bora ata aje Enrique,,,Chelsea n mbovu hatuna wachezaj viwango(hasa strekas) , weng n magarasha tu akina morata na geurod..
Yani wewe ni heri ungekula. Ila tatizo lako umetafuna maharage sijui ya wapi.? Kaangaalie Liverpool na Arsenal. Tuondolee ujingaNimeamini kweli Chelsea nikatimu kadogo tena ka mfukoni mwa mtu yaani miaka yote hii tangia kaanzishwe mwaka 2003 kuna comment 4000+?? Hii aibu aisee
Bila shaka wewe utakua mfurukutwa wa Liverpool.Kaeni chini jipangeni 2019 mrudi Champion league football.Period!
2018/19 mtacheza Yuropa ligi fanyeni vyema huko mchukue ubingwa ili 2019 mrudi CL
Sijaona team hapo ya kurudi CL kwa kupitia EPL maana Man City,Liverpool na Totenham zipo pale kwa miaka mingi!
Hujui kama hii ndiyo familia yake.?Mbona mashabiki wa Chelsea mnagombana wenyewe?,,,abramovich aliinunua hii timu ili afurahi yeye na familia yake sasa kwanini mnalaumu,
Fafanua kubqdilika vpWachezaj wapo tatizo ni conte hataki kubadirka..... Bora ata aje Enrique,,,
Hahahaaaaa nimefurahi umezitaja timu za kawaida kabisa hujaiongelea timu bora kabisa EPL kwa miongo kadhaaYani wewe ni heri ungekula. Ila tatizo lako umetafuna maharage sijui ya wapi.? Kaangaalie Liverpool na Arsenal. Tuondolee ujinga