Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Eti Nipo Nafasi Ya Ngapi??
Kumbe wewe umekuwa Muumini Wa Wenger Kakuridhisha Kugombania Top Four badala ya Ubingwa
?

Mimi Siwezi Kujibu swali kama hilo Coz Kwangu Mimi Ukiacha Nafasi Hile Ya Kwanza Ya Ubingwa! Zilizobakia Zote Ni Nothing and meaningless!!!!
Mimi Kocha Yeyote Anaegombania Top 4 Basi Ni Mpumbavu! Kocha Ni Yule Anaefocus Ubingwa na Si Top Four.
Sawa kwhyo ww unagombania nafas ya 5 kila mwaka na ww mwnyw muumin wa mfumo huo wa kugombea nafas ya 4 kila mwka huna lengo la kchkua ubingwa afadhali hat wenger kachkua 2004 we mwka gan umechkua na mpango yako
 
tumblr_p0v9nlF00j1tf8a5ao1_500.gif
Messi siku hiyo atajuta
 
Bakayoko ni bonge la mchezaji kama ilivyo kunywa maji
Mi siku hiyo naomba amrudishe luiz, Christiansen na aspiliqueta
Cahili out au
Luiz na Christensen wakichez pamoja itabidi tuchezeshe mabeki 4 nyuma so hapo Cahili anakuwa haepukiki kucheza. Ila kiukweli simwamini Luiz katika mechi kubwa. Ana makosa Fulani yanacost timu
 
Hii kwangu ndo timu ya kucheza na barca except adjustments kidogo kuaccomodate mahitaji ya timu hasa ukizingatia unahitajika uzoefu pia. Hapa itabidi Morata arudi kati, Hazard arudi alipokuwa Pedro, then Cahili acheze alipokuwa Rudigar. Luiz anaweza akaanza kati ila aangaliwe sana kuhusu makosa yake maana forward za Barca zinaweza kumlazimisha afanye makosa ambayo hakutegemea. Otherwise for trial Christensen a aweza kufaa
 
Jana Mumepata Kibonde Basi Mumesahau Kuwa Last Match Mulimtukana Conte na Wachezaji Wake....
Hile [HASHTAG]#ConteOut[/HASHTAG] mbona siioni Tena?
 
Luiz akirudi basi acheze kati.
Beki wawe: Azpilicueta, Christensen, Cahill.

Kati: Kante, Drinkwater, Luiz

Wings: Alonso/Zappacosta na Moses

Forward: Hazard na Wilian/Pedro.
Huyo drinkwater aliingia jana lakini sijaona alichokifanya
Kwangu mimi bakayoko ndio the best kuliko drinkwater
 
Huyo drinkwater aliingia jana lakini sijaona alichokifanya
Kwangu mimi bakayoko ndio the best kuliko drinkwater
Aliingia kumpokea Kante na defensively alicheza vtema. Game ilikuwa imeisha so alichokuwa anafanya n kuhakikisha mpira unabaki kwetu tu
 
Jana Mumepata Kibonde Basi Mumesahau Kuwa Last Match Mulimtukana Conte na Wachezaji Wake....
Hile [HASHTAG]#ConteOut[/HASHTAG] mbona siioni Tena?
Personally sijashangilia na wala sijawahi kusema conte out.

Mechi ya jana wa given tungeshinda. Kwanza nilitegemea clean sheet so sijafurahia sana.

Hapa nawaza weekend...three games in eight days!!!
 
Hii kwangu ndo timu ya kucheza na barca except adjustments kidogo kuaccomodate mahitaji ya timu hasa ukizingatia unahitajika uzoefu pia. Hapa itabidi Morata arudi kati, Hazard arudi alipokuwa Pedro, then Cahili acheze alipokuwa Rudigar. Luiz anaweza akaanza kati ila aangaliwe sana kuhusu makosa yake maana forward za Barca zinaweza kumlazimisha afanye makosa ambayo hakutegemea. Otherwise for trial Christensen a aweza kufaa
Nakubaliana nawe kote isipokuwa kwa Morata.
 
Tetesi
CHELSEA BADO INAMFUKUZIA BARKLEY

Chelsea bado wanataka kumsajili nyota wa Everton Ross Barkley na wanajipanga kutoa ofa nyingine mchezaji huyo kwa mujibu wa Daily Mail .
 
Tetesi

CHELSEA YAMFUKUZIA LEMAR

Chelsea imeungana na Arsenal na Liverpool kuifukuzia saini ya winga wa Monaco Thomas Lemar, kwa mujibu wa L'Equipe .
Gunners walimfukuzia majira ya joto, lakini sasa wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa mahasimu wao wa Ligi Kuu Uingereza kumpata nyota huyo mwenye thamani ya £90 milioni.
 
Nakubaliana nawe kote isipokuwa kwa Morata.
Inashangaza sana leo morata kwako sio mchezaji
Huyu ndio mchezaji wa match kubwa pekee na nakuhakikishia bila huyu barca hatoki
Morata ni mshambuliaji bora sana kama akiongeza stamina ya miguu tu
Vingine vyote yuko vizuri na sitakaa nitamani akae benchi kama asumbuliwi na maumivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom