Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijui mimi ndio naona tu
Timu yetu kwa sasa hata ikifungwa bado unaona ni jinsi gani wana hamu ya kufunga goli siku hizi wanaupiga mwingi sana kuanzia kiungo kwenda mbele
Bado huku nyuma kwenye beki hatujawa vizuri maana ukiucheza mpira namna hiyo beki yako inabidi iwe imara kuzuia mashambulizi
Match na westham ni uzembe wa mabeki hasa cahill
Match na hadsfild goli lilifungwa kwa mabeki kuwa wavivu kuruka hewani
Na tungempata morata alikuwa anatufungia goli 2 mwenyewe
Hii team bila kante haiendi niliona alivomtoa na kumuingiza water kila kitu kilibadilika
Wilian alikuwa katika ubora wake kabisa na kwangu ndiye Man of the match dhidi ya hads
 
Messi. 30yrs
Pique. 30yrs
Iniesta. 35yrs
Suarez. 31yrs
Mascherano 35yrs
Rakitic. 31yrs
Vermalen. 34yrs
Paulinho. 32yrs

*Na hili baraza la wazee nalo linataka kuifunga Chelsea??* ...
Ni nani tunakutana naye robo fainali??
 
Kocha Antonio Conte amewapuuza wabaya wake wanaomkosoa kuhusu mwenendo wa timu ya Chelsea katika mashindano ya Ligi Kuu England msimu huu.

Baada ya timu hiyo kuchapwa bao 1-0 na West Ham katika mchezo uliopita, Conte alisema matumaini ya kutetea ubingwa yameyeyuka huku akiipa nafasi Manchester City.

“Kila kona watu wanaizungumzia vibaya Chelsea. Ni kweli vigumu kuizungumzia kutwaa ubingwa mbele ya timu bora kama Manchester City,”alisema Conte.

Hata hivyo, ushindi wa juzi umefufua matumaini ya kutoa upinzani katika mchuano huo msimu huu licha ya kukabiliana na Man City inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa.

Mtaliano huyo alisema watu wamekuwa wakiisema vibaya Chelsea, lakini hatajali na ataendelea na harakati za kutoa ushindani katika mashindano hayo.

Pia kocha huyo alisema ushindi wa jana Jumanne umetokana na kazi nzuri ya kiwango wa kimataifa wa Ufaransa Tiemoue Bakayoko.

Bakayoko alifunga bao la kwanza dhidi ya Huddersfield na kucheza kwa kiwango bora mchezo ambao Chelsea ilikuwa ugenini. Katika mchezo na West Ham, Bakayoko alicheza chini ya kiwango.

“Amenionyesha jinsi gani alivyojiandaa kubadilika. Nilimpanga kwa kuwa hakucheza vibaya sikuona sababu kwanini asianze,”alisema Conte akimzungumzia Bakayoko aliyetua Chelsea majira ya kiangazi kutoka Lyon.
 
Tetesi

Chelsea wanajiandaa na ofa ya pauni milioni 80 kumsaini mchezaji wa Monaco raia wa Ufaransa Thomas Lemar, 22, ambye alikuwa pia anamezewa mate na Liverpool na Arsenal mwezi Agosti. (L'Equipe, kupitia Daily Mail)
 
Kocha Antonio Conte amewapuuza wabaya wake wanaomkosoa kuhusu mwenendo wa timu ya Chelsea katika mashindano ya Ligi Kuu England msimu huu.

Baada ya timu hiyo kuchapwa bao 1-0 na West Ham katika mchezo uliopita, Conte alisema matumaini ya kutetea ubingwa yameyeyuka huku akiipa nafasi Manchester City.

“Kila kona watu wanaizungumzia vibaya Chelsea. Ni kweli vigumu kuizungumzia kutwaa ubingwa mbele ya timu bora kama Manchester City,”alisema Conte.

Hata hivyo, ushindi wa juzi umefufua matumaini ya kutoa upinzani katika mchuano huo msimu huu licha ya kukabiliana na Man City inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa.

Mtaliano huyo alisema watu wamekuwa wakiisema vibaya Chelsea, lakini hatajali na ataendelea na harakati za kutoa ushindani katika mashindano hayo.

Pia kocha huyo alisema ushindi wa jana Jumanne umetokana na kazi nzuri ya kiwango wa kimataifa wa Ufaransa Tiemoue Bakayoko.

Bakayoko alifunga bao la kwanza dhidi ya Huddersfield na kucheza kwa kiwango bora mchezo ambao Chelsea ilikuwa ugenini. Katika mchezo na West Ham, Bakayoko alicheza chini ya kiwango.

“Amenionyesha jinsi gani alivyojiandaa kubadilika. Nilimpanga kwa kuwa hakucheza vibaya sikuona sababu kwanini asianze,”alisema Conte akimzungumzia Bakayoko aliyetua Chelsea majira ya kiangazi kutoka Lyon.
Sio lyon ni monaco
 
13154815ef3e0afc9a73712832455517.jpg
Conte ana mapenzi makubwa kwa Bakayoko nahisi kuliko hata mchezaji mwingine Chelsea. Ila kwa nidhamu anayo, hakosi mazoezi na juhudi ya kutenda mema anayo. Nafikiri ni swala la muda tu atakuja kuwa mchezaji kipenzi cha wengi
 
Inashangaza sana leo morata kwako sio mchezaji
Huyu ndio mchezaji wa match kubwa pekee na nakuhakikishia bila huyu barca hatoki
Morata ni mshambuliaji bora sana kama akiongeza stamina ya miguu tu
Vingine vyote yuko vizuri na sitakaa nitamani akae benchi kama asumbuliwi na maumivu

Mpaka hapo atakapoongeza stamina ya miguu then. Kwa sasa Willian-Hazard-Pedro wana stamina kuliko yeye kwanini waanzie benchi!???

Sijui mimi ndio naona tu
Timu yetu kwa sasa hata ikifungwa bado unaona ni jinsi gani wana hamu ya kufunga goli siku hizi wanaupiga mwingi sana kuanzia kiungo kwenda mbele
Bado huku nyuma kwenye beki hatujawa vizuri maana ukiucheza mpira namna hiyo beki yako inabidi iwe imara kuzuia mashambulizi
Match na westham ni uzembe wa mabeki hasa cahill
Match na hadsfild goli lilifungwa kwa mabeki kuwa wavivu kuruka hewani
Na tungempata morata alikuwa anatufungia goli 2 mwenyewe
Hii team bila kante haiendi niliona alivomtoa na kumuingiza water kila kitu kilibadilika
Wilian alikuwa katika ubora wake kabisa na kwangu ndiye Man of the match dhidi ya hads

Dah dah dah....umenifanya mpaka nikaenda kuangalia tena replay za ile game. Bakayoko alikuwa anamkaba Lanzini. Angalia kuanzia alipopewa pasi na namba 6 wao. Kweli unasema kosa ni la Cahill!???????????????? Ule mpira haukutakiwa kufika golini kama Bakayoko angefanya alichotakiwa kufanya. Tena nimemuangalia anavyokimbia kama vile sisi ndo tunashambulia nikamfananisha na kimbia ya Pogba.

Kweli tukubaliane kutokukubaliana...Cahill ataondoka kwa kuwa umri umemtupa mkono lakini he is still a good defender. His experience msimu tunaihitaji sana!!!
 
Messi. 30yrs
Pique. 30yrs
Iniesta. 35yrs
Suarez. 31yrs
Mascherano 35yrs
Rakitic. 31yrs
Vermalen. 34yrs
Paulinho. 32yrs

*Na hili baraza la wazee nalo linataka kuifunga Chelsea??* ...
Ni nani tunakutana naye robo fainali??
Usitukane mbachao kwa msala upitao. Ijapokuwa Chelsea ana record nzuri anapocheza na Baka, hupaswi kum-beza adui yako kamwe!
 
Tetesi
Willian amewahakikishia mashabiki wa Chelsea kwamba hataondoka mwezi Januari, baada mchezaji huyo wa safu ya kati kuhusishwa na kuelekea huko Manchester United na Barcelona. (Evening Standard)
 
Mpaka hapo atakapoongeza stamina ya miguu then. Kwa sasa Willian-Hazard-Pedro wana stamina kuliko yeye kwanini waanzie benchi!???

Dah dah dah....umenifanya mpaka nikaenda kuangalia tena replay za ile game. Bakayoko alikuwa anamkaba Lanzini. Angalia kuanzia alipopewa pasi na namba 6 wao. Kweli unasema kosa ni la Cahill!???????????????? Ule mpira haukutakiwa kufika golini kama Bakayoko angefanya alichotakiwa kufanya. Tena nimemuangalia anavyokimbia kama vile sisi ndo tunashambulia nikamfananisha na kimbia ya Pogba.

Kweli tukubaliane kutokukubaliana...Cahill ataondoka kwa kuwa umri umemtupa mkono lakini he is still a good defender. His experience msimu tunaihitaji sana!!!
Kwa hao uliowataja kumfunga barca haiwezekani lazima uwe na striker atakaekupa goli
 
Mpaka hapo atakapoongeza stamina ya miguu then. Kwa sasa Willian-Hazard-Pedro wana stamina kuliko yeye kwanini waanzie benchi!???

Dah dah dah....umenifanya mpaka nikaenda kuangalia tena replay za ile game. Bakayoko alikuwa anamkaba Lanzini. Angalia kuanzia alipopewa pasi na namba 6 wao. Kweli unasema kosa ni la Cahill!???????????????? Ule mpira haukutakiwa kufika golini kama Bakayoko angefanya alichotakiwa kufanya. Tena nimemuangalia anavyokimbia kama vile sisi ndo tunashambulia nikamfananisha na kimbia ya Pogba.

Kweli tukubaliane kutokukubaliana...Cahill ataondoka kwa kuwa umri umemtupa mkono lakini he is still a good defender. His experience msimu tunaihitaji sana!!!
Kama tunataka beki imara dhidi ya barca cahill asicheze match zote mbili
 
Kwa hii sera ya Conte kubadilisha na kuwabadilishia namba wachezaji mimi siiaamini Che against Barca. Naona kama tukijitahidi game la kwanza ni draw. Chelsea ina wachezaji wa kuaminika kama akina Kante, Hazard na Kipa. Beki pia ni nzuri isiposumbuliwa huko mbele kwa game za hivi karibuni Morata amekuwa striker wa kawaida sana. Bakayoko ndio usiseme kabisa, Fab ni mzuri kwa mbele lakini umri unaonyesha kuwa hana pumzi tena kama yule Fab wa 2014/15 akicheza na Costa. Moses ni mzuri sana akitumiwa vizuri. Akna Willian na Pedro wanahitaji chemistry nzuri ndipo watacheza vizuri.
Natumain kwenye dirisha dogo la January Conte ataibalance timu ili iweze kushindana Championship na akna Barca
Ktk vitu ambavyo mnapaswa kumuangalia Conte ni approach zake za Big game akiwa darajani na ugenini... Niseme tu kwa kifupi ni kwamba Conte anatambua nafasi yake ya kuifunga Barcelona iko darajani tu so Chelsea itacheza zaidi ya uifikiriavyo kuhakikisha inaisukuma nje Barça na wakienda camp nou hapo ndo watawekewa 3+5+2

Hapo Kati lazima umuone Kante, Drinkwater na Bakayoko. Moses na Alonso. Warahi Barça watasaza
 
Watafurahi na roho zao we subiri
 
PG azisifia Chelsea na Spurs huku akiiponda ManU
Asema hizi mbili zinacheza mpira tena kwa mfumo watakao
b3e7fe368049e4ef7568bc10820f9008.jpg
 
David Luiz ameamua kumaliza utata baada ya kumfuata kocha wake huko Chelsea, Antonio Conte kumaliza bifu na kuweka hadharani matakwa yake.

Beki huyo Mbrazili amemwambia kocha huyo kwamba anataka nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza kama itashindikana basi hatakuwa na kitu cha kuendelea kukifanya hapo Stamford Bridge, ataondoka!

Luiz na Conte wamekuwa kwenye bifu kubwa siku za karibuni ambapo Mbrazili huyo alipigwa chini kwenye kikosi cha kwanza baada ya kumkosoa kocha wake juu ya mbinu zake katika mechi ya kipigo kutoka kwa AS Roma katika Ligi ya Mabingwa Ulaya Oktoba mwaka huu. Luiz alionyesha kutofurahishwa pia wakati alipofanyiwa sub katika mechi ya nyumbani dhidi ya Wataliano hao.

Tangu sakata hilo kuibuka, Luiz sasa amekuwa gumzo akiwindwa na klabu kibao ikiwamo Real Madrid na Bayern Munich, huku kocha Jose Mourinho akimtaka pia beki huyo wa kati aende akaongeze nguvu huko Old Trafford.

Mtu wa karibu na Luiz alisema: "David ni kama mchezaji mwingine yeyote yule anataka kucheza. Hivyo kwa sasa anasubiri tu kuona nini kitatokea."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom