Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi ni mimi tu ndiye ninayehisi kuwa willian hana furaha kikosini au na wenzangu ni vivo hivyo pia?.
 
Kuna mdau kaniambia kaumia.
Lakini unafikiri hazard ni sahihi kucheza striker? ndo maana nikasema hivyo.
Hazard ni mchezaji wa ajabu, mimi naona anaweza namba zote isipokuwa za nyuma. Mbele kote weka kuanzia center forward na striker any position anacheza. Kijana yuko mwepesi na utadhani kazaliwa na mpira
 
Sawa mkuu. Kwa kuwa Leo tunaelekea kushinda.
Acha tukubaliane hivyo.
 
Kikosi kizuri ila sasa tukishinda hapa kocha atadhani tumeshinda kwa sababu tumecheza na timu dhaifu. Nimipenda hiyo forward.

Hapo wakiongeza bidii, game ya Barcelona atoke Bakayoko acheze Drinkwater.

Wengine wabaki hivyohivyo....
Bakayoko ni bonge la mchezaji kama ilivyo kunywa maji
Mi siku hiyo naomba amrudishe luiz, Christiansen na aspiliqueta
Cahili out au
 
tumblr_p0v9nlF00j1tf8a5ao1_500.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom