Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Feb 13th: Chelsea vs. Barça
Feb 24th: Man Utd vs. Chelsea
Mar 3rd: City vs. Chelsea
Mar 6th: Barça vs. Chelsea
anzeni kabisa kuimba ule wimbo wa tunajibu maombi
 
Hapa Tukimuangalia CRYSTAL PALACE aliwakalisha Chini...!
Na tukimuangalia WEST HAM kashawakalisha Chini...!

Bingwa Mtetezi una Ubia gani na RELEGATORS?
😀😀😀😀


View attachment 647065
Hili jukwaa si saizi yako, hapa hatuleti nyimbo za taarabu , tunazungumza nini kinafanya timu ipoteze na sio kukariri matokeo.... Hii show ya wakubwa kua na nidhamu
 
Nini tunafeli kwa sasa Chelsea?

1. Kucheza direct football.
Hii ina maana tunacheza mpira unaosomeka kirahisi na kikubwa ni kwamba mbinu kubwa tuliobaki nayo ni kufanya substitution ya Pedro na Willian , hakuna kingine ndio maana tukikutana na mpinzani anaepaki basi inatusumbua sana.

2. Mabadiliko ya kimfumo, tambua kabisa ,mabadiliko ya kimfumo kutoka 3-4-3 kwenda 3-5-2 yanainyima timu usahihi wa kushambulia yani ukitazama utaona kabisa timu inakosa uwezo wa kufanya counter attack, mashambulizi ya kushtukiza kwa wakati.

3. Uwepo wa sesc fabrigas & bakayoko.
Binafsi timu inapohitaji kufanya fast movement inashindwa kulingana na utaratibu wa sesc, naamini sesc n mchezaji mzuri kwenye uwezo wa kucontrol game na kupiga long and short passes accurately, lakini kuna muda anahitajika asiwepo kwa manufaa ya timu.
- bakayoko bado hajiamini na hana macho mazuri ya kupiga pasi sahihi kwa washambulizi pia sipendezwi na na ukabaji wake marnyingi.

Suluhisho :

1. Drinkwater :

Muweke ndani Drinkwater na ngolo kante wacheze kama key figures za ulinzi.

2. Turudi kucheza mfumo wa zamani:

Rudisha 3-4-3 timu ishambukie sana na sio kupiga pasi nyingi katika eneo la adui.
 
Hili jukwaa si saizi yako, hapa hatuleti nyimbo za taarabu , tunazungumza nini kinafanya timu ipoteze na sio kukariri matokeo.... Hii show ya wakubwa kua na nidhamu


Sasa Mimi Ninae Kariri Matokeo (Though its Facts), Na wewe Unaeleta Mipasho (Nonsense) Nani Ni Mwimba Taarabu?

Hebu Kisome Tena Ulichokiandika Hapo Juu halafu Utudadavulie Zile
Key Points za Hiyo Reply yako..!
 
16 bora kukutaba na Barcelona ni janga, sijui kama tutachomoka
 
Npe matokea yako na Everton na upo nafas ya ngap

Eti Nipo Nafasi Ya Ngapi??
Kumbe wewe umekuwa Muumini Wa Wenger Kakuridhisha Kugombania Top Four badala ya Ubingwa
?

Mimi Siwezi Kujibu swali kama hilo Coz Kwangu Mimi Ukiacha Nafasi Hile Ya Kwanza Ya Ubingwa! Zilizobakia Zote Ni Nothing and meaningless!!!!
Mimi Kocha Yeyote Anaegombania Top 4 Basi Ni Mpumbavu! Kocha Ni Yule Anaefocus Ubingwa na Si Top Four.
 
DAAH MAZEE UEFA WANAZINGUA SANA WANATUPANGAJE NA BACA AU AWAPENDI KUONA TUKIWEPO UEFA DAAAAH THIS IS NOT FEA
 
DAAH MAZEE UEFA WANAZINGUA SANA WANATUPANGAJE NA BACA AU AWAPENDI KUONA TUKIWEPO UEFA DAAAAH THIS IS NOT FEA


Kwa Hiyo Unaiogopa Barcelona?

Mkuu wewe Mwanamme Bhana Usiogope Vita! Mimi Nawasupport Chelsea Muidonoe Hiyo Barcelona Coz Washabiki Wa La Liga wana Kidomodomo sana juu ya EPL.
 
Kutana kutana Chelsea vs Barcelona
Kila kitu kinafanana
Kila mmoja amemfunga mwenzake mara 5
Kila mmoja amefungwa Mara 5
Kila mmoja ameenda sare mara 5

Match ya kukumbukwa ni ile ya mwaka 2012 ya nusu finally UCL ambapo match ya kwanza Barca alikula 1-0
Na match ya marudiano new camp iliisha kwa sare ya 2-2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom