Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo Conte Kaja na mfumo wa 3 6 1. Ila kwa jinsi kikosi nilivyo kiona chelsea anashinda gori nyingi tu
 
Jamaa kaweka wasumbufu wote ndani kina Hazard, Willian, Pedro, Moses
 
goli hakufunga Bakayoko, alipewa tu kwa sababu Huddersfield walijifunga wenyewe. magoli kama hilo la Willian ndio yaliyosoma mpaka chuo kikuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom