lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Kwa hii sera ya Conte kubadilisha na kuwabadilishia namba wachezaji mimi siiaamini Che against Barca. Naona kama tukijitahidi game la kwanza ni draw. Chelsea ina wachezaji wa kuaminika kama akina Kante, Hazard na Kipa. Beki pia ni nzuri isiposumbuliwa huko mbele kwa game za hivi karibuni Morata amekuwa striker wa kawaida sana. Bakayoko ndio usiseme kabisa, Fab ni mzuri kwa mbele lakini umri unaonyesha kuwa hana pumzi tena kama yule Fab wa 2014/15 akicheza na Costa. Moses ni mzuri sana akitumiwa vizuri. Akna Willian na Pedro wanahitaji chemistry nzuri ndipo watacheza vizuri.
Natumain kwenye dirisha dogo la January Conte ataibalance timu ili iweze kushindana Championship na akna Barca
Natumain kwenye dirisha dogo la January Conte ataibalance timu ili iweze kushindana Championship na akna Barca
