Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ndio mana ukaona Mywamaji akaingiaSikatai fab kacheza vizuri mno lakini kadri muda ulivosonga alichoka....
Ndio mana ukaona Mywamaji akaingiaSikatai fab kacheza vizuri mno lakini kadri muda ulivosonga alichoka....
Uchambuzi na dawa. Unacheka kidogo siku zinaendaImebidi nicheke tuu
Cahil ameupiga mwingi kweliHabari za mida wadau wa Chelsea.
Niwape hongera sn kwa ushindi mzuri wa Leo.
Vile vile nipende tu kuwashsuri wapenzi wa Chelsea wenzangu tupende kusapoti team yetu na wachezaji wetu ktk Hali yoyote ile. Na tusifate mkumbo wa hbr zisizo na mashiko.
Hapo nyuma kulikua na mjadala mkubwa sn juu ya wachezaji baadhi wa Chelsea. Leo mmeona wenyewe. Sasa mna kipi cha kujifunza au kuelezea kutokana na mchezo wa Leo?
Nilitoa michango hapo nyuma na nikaelezea matatizo yanayo isibu Chelsea.
Moja ya sbbu nilisema ile Hunger ya kufunga au kushinda ya wachezaji wa Chelsea imeshuka. Na Leo mmeona ilivorudi.
Nilieleza kwamba Conte asimpange Azpilicueta km wingback na kujaza mabeki kibao kuna ifanya team inakua butu mana Azpi hawezi siku hizi kupandisha mipira mbele. Nikasema sasa ni wakati wa Conte kuwaamini kina Zappacosta na Christensen. Na Leo amefanya hivo matokeo yake mmeyaona.
Kitu kingine Leo Conte alichofanya ni kumpunguzia Faby majukumu ya ukabaji sn na badala yake atengeneze passes za kumwaga. Mmeona Leo kz yake.???
Nimpongeze sn Christensen kwa kiwango chake kizuri mana alimfunika kabisa Lukaku.
Pia nafikiri ata mjadala kuhusu Cahill sasa nafikiri utakua umefungwa. Mana amewaprove wote wrong.
Kwa sasa ni hayo tu. Tuendelee kushehelekea ushindi
Tuwazd kwa kila ktu umbwa haw
Hongera kwako kiongozi...Habari za mida wadau wa Chelsea.

Kwani huoni kuwa kapunguziwa majukumuYani leo Fabregas kaonekana bora tangu msimu uanze
Kz kwake Luiz benchi litamuhusu sn tuHongera kwako kiongozi...
Ila mwenye tunguli zake pale kati amerudi kwa kasi tena kwa hasira sana, mpaka una shangaa huyu mtu kweli katoka injury..?
Ila huyu Christensen sijui nimuelezeje ana nikosha mno kwakweli, mtoto katulia mno, ana kaba kiakili, akiwa na mpira hana papara anaumiliki ana piga pasi za uhakika. Ila ana akili ya kukaba kuliko kutumia nguvu.
Lakini conte simuelewagi kabisa kuhusu hazina hii tuliyonayo.
wala sikukimbia kama unavyodhani bali niliona tunaongea lugha mbili tofauti hatutafikia mwafaka wewe umekariri mpira mimi nimeelewa mpira so niliamua kuto waste energy zangu kukuweka sawa.Mwenzio KHALIFA AM nimemwambia alete starts atuzibe midomo tunam troll cahili kakimbia.
so naomba wewe utusaidie sisi tusiomkubali cahili ili tuonekane tuna chuki binafsi
Kz kwake Luiz benchi litamuhusu sn tu
kweli tumeona hamna clean sheet endelea kukariri mpira tuCaptain kama kawa, hakuna clean sheet hapa
Hivi Lukaku leo alikuwepo uwanjani kweli?
Conte anapokuja nje ktk media hawezi msiliba mchezaji wake. Atatafuta maneno tu azibe hapo lkn ukweli ni kwamba Luiz kapigwa mkwara na akaambiwa benchi lazima limuhusuLuiz amekosolewa sana na mchezo wa Roma kwamba yeye ndio sababu kubwa ya kushindwa kwa Timu. Nahisi Conte kama kasikia kilio cha wengi.japo Conte anadai ni technical dropping
Alichokua anaongea huyo mdau wala alikua hakijui na Leo yale tuliyomwambia ameyaona mwenyewala sikukimbia kama unavyodhani bali niliona tunaongea lugha mbili tofauti hatutafikia mwafaka wewe umekariri mpira mimi nimeelewa mpira so niliamua kuto waste energy zangu kukuweka sawa.
Kule jukwaa na Liverpool yuko mwingine wa aina yako anaitwa Malafyale , karibu jukwaanikweli tumeona hamna clean sheet endelea kukariri mpira tu
si ulisema Cahill akianza hamna clean sheet vipi sasa leo Cahill kafungisha mangapi?Kule jukwaa na Liverpool yuko mwingine wa aina yako anaitwa Malafyale , karibu jukwaani
Nilisema hivyo hivyo kwenye match vs Roma ila baada ya mechi hukuja kuni-quotesi ulisema Cahill akianza hamna clean sheet vipi sasa leo Cahill kafungisha mangapi?