Nahitaji kufahamu makosa alofanya Cahill mpk tukafungwa sio kwamba akiwa yeye uwanjani basi tunafungwa. Mbona Luiz anakuwemo na tunafungwa? Na ata game ya ATM Luis alimvuta mtu ndani ya box ikawa penati na kughalimu timu na kuwasumbua wenzaka na kuwakatisha tamaa kwa experience defender km yeye kufanya makosa ya kipuuzi kabisa kitu ambacho sioni Cahill akifanya hayo makosa
Kosa kama hilo last season alifanya cahili kwenye league ila mechi nimeisahau,
luiz akifanya sio frequency