Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna vita baridi kati ya Conte na Kenedy pamoja na David Luiz. Sababu kuu ni kutotii maagizo ya meneja. Fate yao inaweza kuwa kama ya Costa kwani Conte kadai mchezaji yeyote anayekaidi maagizo yake hatacheza kwenye XI yake. Hata substitute hatapangwa na ndio maana hata kwenye sub Luiz na Kenedy hawapo.
Mmmmmhhhj
 
Hizi tabia za kujaza jukwaa kila timu ikishinda ziko kwenye jukwaa la Liverpool na Arsenal huko , sisi tuko hapa kiangazi na masika .Nakukaribisha tena jukwaani
kushinda jukwaani 24-7 sio kwamba ndio utakuwa unaweza ku analyse mpira vizuri kuliko wengine some of us tunakosa nafasi ya kushinda majukwaani kwasababu zilizo nje ya uwezo wetu na pia at times huwa naona napoteza energy na muda bure kumuelewesha mtu ambae hayupo tayari kuelewa.
 
Kauzwa jumla lkn sio kwa Andre. Andy hauzwi. Andy ni wa big game tu
Nani wa "Small" game sasa.. ? Maana huyu kocha wetu next match lazima atapangua tena ile defense .
 
Hauzwi mkuu. Ndo mana yuko hapo kz anaijua
Kitu kimoja inabidi unielewe mkuu nahisi Mimi nina over expectation kwa Cahill ,yaani kila mistake ikitokea kwenye defense Mimi mtu wa kwanza kumuangalia yuko wapi ni Cahill l.
 
Luiz sasa hv anacheza kifaza faza sana....afu Bakayoko yan ndo simuelewgi kabisa
Uangalii vizuri mpira au yawezekana unaangalia bila kuelewa. Mtazame interception zake, tackling anazofanya, alafu mwangalie muda ambao hana mpira ndo utajua Bakayoko ni mchezaji wa aina gani. Tatizo lake kubwa ni kwamba pass zake zinakosa accuracy kwa kiasi fulani ila as long as yuko na Conte atakuja kuwa bonge la midfielder kama alivyokuwa Essien au Makerere
 
0338c92b8f4c5f6ae02741ca2e192baf.jpg
 
Na tayari ameanza kupunguza makosa ya passes zake. Angalia mpira wa Leo alivocheza kacheza bomba la mpira na kila sehemu alikuawepo. Jamaa ameanza kua anakimbia kila sehemu yupo km Kante
 
Na tayari ameanza kupunguza makosa ya passes zake. Angalia mpira wa Leo alivocheza kacheza bomba la mpira na kila sehemu alikuawepo. Jamaa ameanza kua anakimbia kila sehemu yupo km Kante

Ila umaliziaji wake aisee..leo tungewafunga mengi sana hawa watoto wa Mou kama zile shots zingepigwa kwa umakini.

Morata mwishoni anataka kupiga chenga eti..daah alinikeraaa!!!!

Ila Fabregas amestahili man of the match.
 
Huyu kijana wetu nwenye mwili kama wa Erick Omondi anajua sana kukaba na kutulia...yaani naona kama anajua kucheza na mzee Cahil; ila siku Cahil wakiwa na Luiz lazima mmoja azembee kuwahi mipira wakitegeana.

Kwakweli mipira za kumalizia zile za Bakayoko na Morata nilitamani ziangukie miguuni mwa Hazard; Fabi au Wilian tungeongea lugha nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom