The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Cahili yupo jamani? Maana kuna wadau hawampendi
Team captain yupoCahili yupo jamani? Maana kuna wadau hawampendi
Mkuu unaangalia mpira huu wa leo au!Huyo fabregas atoke sasa waniingizie Pedro
Naangalia wa juzi...faby ashachoka mkuu anakaba kwa kutumia machoMkuu unaangalia mpira huu wa leo au!
Siku ukimwona aspi ameanzishwa kati basi jua tunafungwaHii ndiyo Chelsea ninayoitaka
Ndo wameingia wamefny nn we mpga ramliMsubirini kwanza martial na felain waingie ndo mtajua
Kimoja tu kitakatifu kimeganda mpk kubyeee.Sasa hao Leo watawanyoosha. Msianze tuu
Ooohhh sijui refa...
Sijui red card nk
Cahili inabidi umpende tu maana hakuna namna.Carhill kamuangusha kizembe Felani ndani ya penalty box bahati nzuri refa hakuona. Carhill ni mzito sijui kwanini anapendwa na Conte