Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Tatizo watu wanafata mikumbo. Huwezi mlaumu Cahill wakati Hana makosaMkuu ni bora hili swala ukalipotezea. Jaribu tu kuwa mwelewa. Msimu uliopita Cahili ndo alikuwa Captain msaidizi na ameisaidia Chelsea kubeba ndoo. Makosa ya Chelsea tuyaangalie in three dimension not form Cahill perspective. John Terry amekuwa Captain ila hatukuchukua vikombe kila msimu. Na pale tuliposhindwa kuchukua vikombe siyo Terry tu ambaye angebeba lawama.