The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Mkuu Costa ameondoka, Matic naye. Wameingia watu 5 kwa hiyo muda unavyoenda tutapata kikosi cha maana. Napata shida upande wa kushoto kati ya Cahili na Rudigar nani aanze. Ila Luiz akileta utoto wake na nidhamu mbovu atakaa kwa dogo ChristensenSiku ukimwona aspi ameanzishwa kati basi jua tunafungwa
Ila kikosi cha leo nimekipenda hata cahili amenisaprise leo
Conte inabidi ashikilie hiki kikosi