Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Morata tupe mambo bhana. Hawana lolote zaidi ya defensive plans. The Batman hatuamgushi bila kumsahau Bakanyoko.
Utamlaumu Conte umuache Rudiger au Alonso?Hii game ya Roma Conte ndio wa kulaumiwa kwa kuvuruga timu. Kawaweja wachezaji wengine kwenye namba ambazo hawakuzizoea. Pia alijaza mabeki nyuma kama ni timu ya shule inacheza na premiere league team. Kwa upande wa Carhill general performance yake sio nzuri. Makosa mengine anayofanya ni technical kiasi kwamba kocha ndie anayeweza kujua na ndio sababu mojawapo ya kutolewa au kutoanza kwenye XI
Mkuu kuhusu kumpa muda Conte na swala la Movich kutaka ushindi wa kila msimu:Uchambuz wako nineukubali ila kuna pahala lazima upaweke sawa napo ni unaposema tumpe mda conte wakat huohuo unasema timu inaendeshwa kibiashara na movichi anayetaka ushnd wa papo kwa hapo
Sasa which is whch..
Mi nazan ss kama mashabk lazma tuungane na movich kupata mafanikio ya kila msimu regardless what..
Maana timu sio yetu ni ya bwana mkubwa movic na anatoa hela zake il apate faida, hvo huez pingana na mweny timu anachotaka.
Mi nasuggest Conte au cocha yeyote yule anapokuja Chelsea atoe mawazo ya et kukuza vijana, hamna hcho kitu maana mfumo wa kuendesha timu unajulikana... Haiezekan umeajirwa kwa lengo la mafanikio ya fasta hafu useme et upewe muda.. No noo..
Inatakiwa ujue na utafute mbinu matata za kupata very qualified player every season ili kufanya timu iwe juu mda wote..
Mbona conte kaingia paap hapohapo kabeba ubngwa kwann asiendeleze gia zilezike ktk msimu huu ili tubebe kombe..?
Tatzo nnaloliona ni ile hal ya kubweteka na ubngwa na kuona kama tumeahnda msm ulopita bas hata huu tutashnda tu.. Huku tukisahau kuwa wenzetu nao wamejipanga kw muda mrefu na wanakuja na mbinu tofauti
Kosa lilikuwa kumchezesha Cahili kulia, naturally Cahili anacheza kushoto lakini Azpilicuta ana elements za kushambulia pia ndiyo maana ana magoli mawili na assists 4! Ukimpata beki mwenye huo uwezo EPL tuwekee jina hapa. So haikuwa makosa kumchezesha Cesar wing back.Rudiger luiz cahil
Na alipokosea sana ni kumchezesha Asp katikati wakati zapa yupo
Nafikiri pia ni muda wa ndrnkwater kuanza kucheza na kante
Mkuu unalolisema ni sahihi kabisa. Goli la pili ni uzembe wa Ludigar, goli la 3 Cahili alikuwa kashatolewa. Sasa watu wanaishia kumbebesha mizigo yote Cahili!Hiyo picha ni wakati ambapo Cahill kashatoka na Willian kuingia mabeki wakarudi kucheza Azpilicueta Luiz na Rüdiger huku Pedro akienda kucheza wingback.Swali langu kwako wewe unaesema kwamba backline isipokuwa Azpilicueta Luiz Rüdiger tutafungwa ni je hao mabeki hawakufanya makosa mechi ya Roma? kwasababu Cahill alitoka matokeo yakiwa 2-0 je hilo la 3 si lilipatikana mabeki wakiwa Azpilicueta Luiz Rüdiger.
Naona wengi mmekuwa mkimshushia lawama Cahill kila tunapofungwa goli hata kama kosa si lake sina maana ya kwamba Cahill hafanyi makosa la hasha lakini mabeki wote wanafanya makosa sana msimu huu tofauti na msimu uliopita Azpilicueta ameshuka kiwango Luiz kashuka Cahill kashuka Alonso kashuka Rüdiger na Christensen nao hawana consistency leo watafanya vizuri kesho watafanya mistake.
Kwa hiyo Conte kutompigia simu baada ya mazoezi ndo kunafanya pasi ziishie miguu mwake? Yeye aseme tu anamuwaza CostaWillian claims Antonio Conte barely speaks to his Chelsea players away from the pitch
Read more: Chelsea news: Willian reveals Antonio Conte's cold approach with players | Metro News
Twitter: Metro (@MetroUK) | Twitter | Facebook: https://www.facebook.com/MetroUK/
Antonio Conte barely speaks to players outside of training, claims Willian. (AFP/Getty Images) Willian has claimed that Antonio Conte barely speaks to his Chelsea players apart from when he gives instructions on the training ground or during matches. The Italian is under pressure after an inconsistent start to his second season at Stamford Bridge and is preparing to face Jose Mourinho and Manchester United this Sunday
Read more: Chelsea news: Willian reveals Antonio Conte's cold approach with players | Metro News
Twitter: Metro (@MetroUK) | Twitter | Facebook: https://www.facebook.com/MetroUK/
Swali zuri kabisaKtk game na Roma Cahill alifanya kosa gani mpk tukafungwa?
Cahili katolewa kwa sababu hawezi kumanage kucheza kulia. Ni hilo tu wala hakuna lingineKiongozi ulikua kimya sana kwenye jukwaa hadi nkaanza kuulizia umepotelea wapi, back to the topic; hukuona conte kamtoa dakika ya 51?????? au unadhani ile ilikuwa ni tactical approach??????
Mkuu husianisha kufungwa kwa Chelsea na kuanza kwa Cahili pia ainisha makosa ya Cahill katika mechi ambazo tumefungwakatika game sita zilizopita ambazo cahili kaanza tumeshinda game mojatu, ila game zote azp alizopewa kitambaa tumeshinda zote na nyingine tumeondoka na cleensheet.
Kuwalinganisha wachezaji wetu na wachezaji wa timu nyingine katika Uzi huu ni kuwakosea heshima. Ndo maana watu wengine wanafikia hatua ya ku-question integrity ya ushabiki wetu.Game tatu zote tumefungwa alizoanza yeye.
cahili aweza pambana na martial?????
Njoo chumbani nikuwasape.Kho kho khooo!!!!!!
Majirani salamaaaaaaa???
Hivi kumbe upo?Njoo chumbani nikuwasape.
Unaangalia mpira wp Leo?
Mke wangu usifanye kabisa nakuomba.Hivi kumbe upo?
Siku pekee utakayoiona jf chungu ni Leo.
Jiandae
Mkuu ni bora hili swala ukalipotezea. Jaribu tu kuwa mwelewa. Msimu uliopita Cahili ndo alikuwa Captain msaidizi na ameisaidia Chelsea kubeba ndoo. Makosa ya Chelsea tuyaangalie in three dimension not form Cahill perspective. John Terry amekuwa Captain ila hatukuchukua vikombe kila msimu. Na pale tuliposhindwa kuchukua vikombe siyo Terry tu ambaye angebeba lawama.LETS STARTS SPEAK
LETE STARTS UTUZIBE MIDOMO WOTE TUNAOM CRITICISE CAHILI.
Ohooo!!!Mke wangu usifanye kabisa nakuomba.
We mwenyewe unakuja ghetto nikuache kweli? Lazima nkupe haki yako
Nkupe vingapi Leo umgawie na bimkubwa Eva?