Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
unajua maana ya kufananisha? au umekaririAnamfananisha LEGEND na THE WORST CAPTAIN EVER cahili??????
unajua maana ya kufananisha? au umekaririAnamfananisha LEGEND na THE WORST CAPTAIN EVER cahili??????
nimeuliza swali hilo kutaka kurelate comments zako na mwaka ulioanza kuifatilia Chelsea kwasababu comments zako zina resemble mtu aliyeanza kuifatilia Chelsea msimu uliopita walau ungeanza msimu wa 2015/2016 usingelimtupia lawama mtu mmoja pekee kana kwamba magoli yote anafungisha yeye.
unajua maana ya kufananisha? au umekariri
Ktk game na Roma Cahill alifanya kosa gani mpk tukafungwa?Tafuta starts alizoanza cahili as captain this season, na ambazo AZPiculeta kaanza kama captain then njoo unikosoe.
i'm ready.
Na uniambie alizoanza cahili this season tumeshinda ngapi na cleensheet ngapi na alizoanza azpiculeta kama captain tumeshinda ngapi na cleensheet ngapi tumepata????? ukija na hizo starts na cahili akiwa juu sintomnyooshea tena kidole.
Nitajie game tatu zilizopita kisha niambie ni makosa gani Cahill alifanya tukafungwa?Nimekupa task, njoo na starts za cahili vs Azpiculeta this season uone ni kwanini watu hatumuelewi conte kumpanga cahili
Let's starts speak.
Ktk game na Roma Cahill alifanya kosa gani mpk tukafungwa?
Nitajie game tatu zilizopita kisha niambie ni makosa gani Cahill alifanya tukafungwa?
Kumtoa dk 51 sio kwamba alikua kapwaya ili ni mbinu kuongeza attacker hasa ukinzingatia Azpilicueta alikua amesha fail kupandisha mipira as wingback ndio mana ikamlazimu Pedro kuja kucheza huo upande na Willian kucheza nafasi ya Pedro.Kiongozi ulikua kimya sana kwenye jukwaa hadi nkaanza kuulizia umepotelea wapi, back to the topic; hukuona conte kamtoa dakika ya 51?????? au unadhani ile ilikuwa ni tactical approach??????
Umeambiwa taja game tatu zilizopita wewe umetaja game sita haaaahahaha hii nchi imejaa vichaa haki ya mungukatika game sita zilizopita ambazo cahili kaanza tumeshinda game mojatu, ila game zote azp alizopewa kitambaa tumeshinda zote na nyingine tumeondoka na cleensheet.
Nahitaji kufahamu makosa alofanya Cahill mpk tukafungwa sio kwamba akiwa yeye uwanjani basi tunafungwa. Mbona Luiz anakuwemo na tunafungwa? Na ata game ya ATM Luis alimvuta mtu ndani ya box ikawa penati na kughalimu timu na kuwasumbua wenzaka na kuwakatisha tamaa kwa experience defender km yeye kufanya makosa ya kipuuzi kabisa kitu ambacho sioni Cahill akifanya hayo makosakatika game sita zilizopita ambazo cahili kaanza tumeshinda game mojatu, ila game zote azp alizopewa kitambaa tumeshinda zote na nyingine tumeondoka na cleensheet.
Kumtoa dk 51 sio kwamba alikua kapwaya ili ni mbinu kuongeza attacker hasa ukinzingatia Azpilicueta alikua amesha fail kupandisha mipira as wingback ndio mana ikamlazimu Pedro kuja kucheza huo upande na Willian kucheza nafasi ya Pedro.
BTW mi nipo hua napita kimya kimya tu.
Baada ya kukujibu swali lako naomba nijibu maswali yng sasa.
Nitajie makosa aliyofanya Cahill mpk tukafungwa na Roma.
Nitajie makosa alofanya Cahill ktk game tatu za nyuma mana naona unataka statics sasa lete ushahidi wako kwanza
Akikujibu utani tag mkuu,Tafuta starts alizoanza cahili as captain this season, na ambazo AZPiculeta kaanza kama captain then njoo unikosoe.
i'm ready.
Na uniambie alizoanza cahili this season tumeshinda ngapi na cleensheet ngapi na alizoanza azpiculeta kama captain tumeshinda ngapi na cleensheet ngapi tumepata????? ukija na hizo starts na cahili akiwa juu sintomnyooshea tena kidole.
Umeambiwa taja game tatu zilizopita wewe umetaja game sita haaaahahaha hii nchi imejaa vichaa haki ya mungu