Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Mbona wewe umeshindwa kuainisha makosa ya Cahill?Kama starts sio hoja kwako hasi hatuwezi elewana.
weka starts mezani sisi tunaom troll tuaibike.
Game na Watford. Azpi alijifunga. Majuzi na Roma alifanya uzembe mpira ukapigwa mbele yake wakafungwa goli la kwanza.
Niambie Cahill alifanya makosa gani?