Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

98cb1d7b6f52a7223d18d6deeddd6c28.jpg

Kama conte ana akili apange kikosi namna hii nakuhakikishia tunashinda hii match
Sio ana mweka tena aspi katikati anakera sana wakati mwingine
Mkuu hiyo Combination ya hao watu hapo kati toa Fabrigas weka bakayoko
 
Bakayoko wala asiogope...acheze hivyohivyo, second. Half huko tumuingize Drinkwater!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom