Yomakon
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 638
- 679
Kocha ndiye anayepanga kikosi ila naona upangaji wake anachanganya mambo mtu kama zapacosta hakuwa wa kukaa benchi leo na pia kiungo ya fab na kante ni kuuruhusu timu pinzani ikutawaleDuh umemuona na wewe!?? Dah yani anajog kabisa bila stress.
Ila kwa Bakayoko nailaumu mgt ya timu iliyomuuza Matic.


