Pedro hajapiga hata shuti moja...?Aah ni kwel mkuu tunawachezaji wazuri sana wenye rate kubwa ya fifa lakini tunakua kama real madrid, winning sipirit hamna kabsa timu inacheza kama wachezaj wamepooza vilee....,,
Yan huwez amini tmu inapigwa anahangaika hazard peke yak uwanja mzma, huyo pedro hajapga hata shut mojaa duuh!! Kwel tunaend kua Bijampola UTD.....
Daah mbaba yan cna amani kabsa nahis na mech ctangalia bora nisubiri matokeo tuu....Pedro hajapiga hata shuti moja...?
Let's cheer together in the sun and rain...,,,Cause Chelsea, Chelsea is our name...
![]()
![]()
![]()
Nenda kakate viuno hkoUYU KOCHA MINAONA KIBARUA KINAOTA NYASI SOON MBONA ANATUHARIBIA TIMU YANI ROMA NIWAKUMSHINDWA KWELI VP WAKIJA KINA MAN U AU PSG
DAAAAH
Nyie ndo mamluki amuitakii mema timu yenu inabyo alibiwa nauyu kochaNenda kakate viuno hko
Jamani nyinyi ni wamoja msiitane mamlukiNyie ndo mamluki amuitakii mema timu yenu inabyo alibiwa nauyu kocha
We Mkata viuno naona unjitekenya na kucheka mwenyeweUYU KOCHA MINAONA KIBARUA KINAOTA NYASI SOON MBONA ANATUHARIBIA TIMU YANI ROMA NIWAKUMSHINDWA KWELI VP WAKIJA KINA MAN U AU PSG
DAAAAH
MSHAGEUKA IKI NI KIKUNDI CHA WEZIWe Mkata viuno naona unjitekenya na kucheka mwenyewe
kiongozi unapunguza umri wa watu kuishi ujue!!Miguu michafu ya kina Hazzard. Miguu Iliyobeba nyayo zenye vumbi la dhambi. Ilipothubutu tu kuikanyaga ardhi takatifu ya mji wa Roma. Ardhi ikapiga kelele ishara ya kwamba kuna watu wamekuja kuitia najisi nchi. Ndipo gavana katili wa mji wa Roma akawauliza Dzeko na El Shalaw. Mnataka nimfanyeje CHELSEA?!! Zikasikika kelele ASULUBIWE! ASULUBIWE!
Basi gavana akaamuru Chelsea atendewe kama watu wa mji wa Roma watakavyo.
Roma wakamtwaa Chelsea, wakamfanyia dhihaka kwa kumvika nepi kichwani, kisha wakamnyoa ndevu kwa vijinga vya moto.
Wakamtundika kwenye mbao zilizotengezwa mfano wa msalaba. Kisha wakampigilia misumari mikubwa mi 3. Mikononi na miguuni. Juu ya kichwa chake wakaweka kibao chenye maneno ya kiitaliano.. Mosi serta hora inserta. Yaani, HUYU NDIYE MFALME WA LIGI KUU YA ENGLAND.
Baadhi ya askari wasiojua tafsiri ya neno utu tangu wazaliwe. Wakamuona Abromovic amejificha akishuhudia mateso ya Chelsea. Wakamfuata nakumuuliza. Wewe nawe u sehemu ya watu hawa?!! Abromovic akaikana Chelsea mara 3 kwa kusema maneno haya..
SIJAWAJUA WATU HAO TANGU KUZALIWA KWANGU.'' Baada ya hapo akatoka mbio mithili ya kibaka aliyeichoropoa shingo yake kwenye tairi la moto.

Let's cheer together in the sun and rain...,,,
Cause we are all blues,,,

MSHAGEUKA IKI NI KIKUNDI CHA WEZI
ILI SIO JUKWAA NIKIKUNDI CHA WEZI NYIE MNATUALIBIA JUKWAA LETU WANA BLUE

Miguu michafu ya kina Hazzard. Miguu Iliyobeba nyayo zenye vumbi la dhambi. Ilipothubutu tu kuikanyaga ardhi takatifu ya mji wa Roma. Ardhi ikapiga kelele ishara ya kwamba kuna watu wamekuja kuitia najisi nchi. Ndipo gavana katili wa mji wa Roma akawauliza Dzeko na El Shalaw. Mnataka nimfanyeje CHELSEA?!! Zikasikika kelele ASULUBIWE! ASULUBIWE!
Basi gavana akaamuru Chelsea atendewe kama watu wa mji wa Roma watakavyo.
Roma wakamtwaa Chelsea, wakamfanyia dhihaka kwa kumvika nepi kichwani, kisha wakamnyoa ndevu kwa vijinga vya moto.
Wakamtundika kwenye mbao zilizotengezwa mfano wa msalaba. Kisha wakampigilia misumari mikubwa mi 3. Mikononi na miguuni. Juu ya kichwa chake wakaweka kibao chenye maneno ya kiitaliano.. Mosi serta hora inserta. Yaani, HUYU NDIYE MFALME WA LIGI KUU YA ENGLAND.
Baadhi ya askari wasiojua tafsiri ya neno utu tangu wazaliwe. Wakamuona Abromovic amejificha akishuhudia mateso ya Chelsea. Wakamfuata nakumuuliza. Wewe nawe u sehemu ya watu hawa?!! Abromovic akaikana Chelsea mara 3 kwa kusema maneno haya..
SIJAWAJUA WATU HAO TANGU KUZALIWA KWANGU.'' Baada ya hapo akatoka mbio mithili ya kibaka aliyeichoropoa shingo yake kwenye tairi la moto.
asante kwa kuniongezea siku ya kuishi. UmetishaIngekuwa MUFC ndio imebugizwa tatu bila zingeshaanzishwa "nyuzi" kumi humu jukwaani.. Lakini kwakuwa ni timu ndogo nani anajali?

haka katimu ka mchangani