Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_2493.jpg

IMG_2492.jpg
 
Bodi ya chelsea ikiwa imekaa kujadili mwenendo wa timu
3a244a3993a2bb3bb752ec23f82b89a9.jpg
 
Naona munapiga kelele sana hiv man u nyie munapigania kuingia Big 4 sye kuchukua ubingwaa tukikosa msimu huuuu next msimu
 
Ila team yako mbovu, mark my word february ikifika ulete mrejesho.
Akati ligi unaanza mlisema subilini October naona mmeanza pandisha sikuv[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nyie lazima mshuke daraja
 
Huna haja ya kubishana nao hao mkuu, akili bado haijakaa sawa, kupigwa na timu inayoshika mkia si mchezo unajua? [emoji23]

Subiri michubuko ipone pone kidogo akili ndio itaanza kuwarudi.

C. Palace ni noumaaaaaaaa
Kweli kipigo kimefanya achanganyikiwe. Hajui mwaka 2005 Tanga iliitwa Jiji.
 
Basi kipigo cha juzi kimenikumbusha movie moja inaitwa love don't cost a thing zezeta wa shule (crystal palace) kajichukulia demu anaejiona super star kiulainiiiiiiiii
 
Nasikia N'golo kante alimisi game ya juzi alikua kufanya kampeni za jubilee hapo kenya[emoji23]
8a77935ee0be1369a8192207cc86bb09.jpg
 
Wakati huo unapambana kutoshuka daraja, kwa ule mpira uliocheza jana. Chelsea inatakiwa kucheza Championship na sio Premier League.
Hapo bado haujakutana na New Castle, Watford, Huddlesfield.
8cd7a7d3e2715ad476013ec52e2549ef.jpg
Hivi ungekua unaongoza unaongoza ligi ingekuaje.? Maana unaropoka ropoka tu. Bado unahitajika ujihimarishe Liverpool kakushika shika matako ngoja big game nyingine zinakuja na kakikosi kako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom