Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nafikiri conte na boss wake mwaka huu wamefanya kosa moja ambalo ni kuwa na kikosi kidogo yaani mechi zote wachezaji ni walewale nina wasiwasi kama tunaweza kutetea kombe mwaka huu
 
Kosa litakuwa kumpanga Azpilicueta nafasi ya Moses. Ni heri Azpi abaki nafasi yake na Zappacosta acheze nafasi ya Moses. Mabadiliko mengine yeyote yafanyike baada ya mechi kuanza.

Azpilicueta analeta balance kwenye defence na akama tuko vizuri kwa defence then mara moja moja anaweza kupanda kusaidia mashambulizi. Kumuweka wingback ni kumpunguzia nguvu ya kukaba.
nakubaliana na wewe lakini nadhani kocha atampanga Azpilicueta ile nafasi ya Moses leo halafu nyuma pale kwa Azpilicueta atampanga Rüdiger kama alivyofanya mechi ya Man City nahisi atafanya hivyo leo sina uhakika lakini.
 
Kosa litakuwa kumpanga Azpilicueta nafasi ya Moses. Ni heri Azpi abaki nafasi yake na Zappacosta acheze nafasi ya Moses. Mabadiliko mengine yeyote yafanyike baada ya mechi kuanza.

Azpilicueta analeta balance kwenye defence na akama tuko vizuri kwa defence then mara moja moja anaweza kupanda kusaidia mashambulizi. Kumuweka wingback ni kumpunguzia nguvu ya kukaba.
Nakubaliana na ww hili swala la Azpilicueta kucheza wingback linapunguza kabisa mashambulizi wakati yupo zapacosta anayeweza vizuri kucheza nafasi hiyo
 
ad92a09a880f5fbdd334738c1e940c0a.jpg
 
Kikosi changu cha leo
Rudiger, aspiliqueta,christiensen
Alonso,luiz,bakayoko,zappacosta
Hazard, morata, pedro

Kinyume na hapa tunafungwa tena
Yangu macho
 
Nafikiri conte na boss wake mwaka huu wamefanya kosa moja ambalo ni kuwa na kikosi kidogo yaani mechi zote wachezaji ni walewale nina wasiwasi kama tunaweza kutetea kombe mwaka huu
Aisee kuna mashabiki wengine maandazi yani unawaza et mnaweza tetea ubingwa Daaaah aisee ww kashangilie netball
Akuna kikombe chochote mwaka uu mark my words
 
wewe ni nani useme hivyo jana mbona mikeka yenu imechanika kila mtu alijua madrid anashinda!!mpira unadunda nimeanza kujua mpira wa ulaya nikiwa na miaka 8 huna hoja pole sana kwa ulimbukeni usiandike kishabiki mawazo yako JUMA hatuwezi kwenda mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom