Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ww CHELSEA inakunyima sana usingizi
044372c03b70bb4d8ea95b19c437d4eb.jpg

Mashabiki wa chelsea wakirudishwa kwenye jukwaa lao baada ya kuvamia thread ya Manchester jana
 
Naifatilia timu mwanzo mwisho na sio leo tu, spirit ya timu kuchukua ubingwa ndani ya mechi hizi nane ingeshajionesha kaka,

Anyway hapa ni lazima tukubali kutokubaliana, kwangu mimi tuna kikosi chepesi sana sana,
Kama unaifatilia timu basi uje na hoja nyengine maana kwa hoja hiyo ya spirit nimeshakupa mifano ya mechi kadhaa hapo juu.
Tuna kikosi chepesi kwa uthibitisho upi labda?
 
Wangetoa huyo dogo akabak Tammy Abraham.... Ata Conte mwenyew alilia sana Tammy abaki ila board ya chelsea ni washenz sijui shiit...,,,???
Tammy Abraham na huyo dogo wanacheza nafasi mbili tofauti.Tammy Abraham ni mshambuliaji wa kati huyo dogo ni winga sasa hapo kuna uhusiano gani?
Ni kama vile useme bora tungembakisha Zouma halafu tumtoe kwa mkopo huyo dogo wakati nafasi zao hazihusiani.Nadhani ulipaswa kusema tulitakiwa kumbakisha Tammy Abraham tumtoe kwa mkopo Batshuayi.
 
‘I don’t like to lose, especially twice in a row. For sure today my soul is bad and it will be difficult for me to sleep, but we must have the same sensation, me and my players, to turn a negative situation into a positive.’

conference-call--finding-solutions.img.png
Kwan mkuu Elizer hakucheza?
 
Tammy Abraham na huyo dogo wanacheza nafasi mbili tofauti.Tammy Abraham ni mshambuliaji wa kati huyo dogo ni winga sasa hapo kuna uhusiano gani?
Ni kama vile useme bora tungembakisha Zouma halafu tumtoe kwa mkopo huyo dogo wakati nafasi zao hazihusiani.Nadhani ulipaswa kusema tulitakiwa kumbakisha Tammy Abraham tumtoe kwa mkopo Batshuayi.
Tatizo sio nafasi ila ni idadi ya kikosi mkuu, Musonda mi naona anajaza ukubwa wa kikosi bora Tammy angebak Musonda akaenda zake.
Batsuayi muhimu sana kwa kikosi mkuu....
Ukumbuke ata Conte mwenyew alitak musonda atoke abak Tammy kwenye kikosi cha pili..,,,
 
Tammy Abraham na huyo dogo wanacheza nafasi mbili tofauti.Tammy Abraham ni mshambuliaji wa kati huyo dogo ni winga sasa hapo kuna uhusiano gani?
Ni kama vile useme bora tungembakisha Zouma halafu tumtoe kwa mkopo huyo dogo wakati nafasi zao hazihusiani.Nadhani ulipaswa kusema tulitakiwa kumbakisha Tammy Abraham tumtoe kwa mkopo Batshuayi.
Ukubwa wa kikosi narudia tena, ukumbule kikosi cha EPL kina wachezaji 25 tuu, Musonda angesepa amejaza nafas tuu.....
 
Ukubwa wa kikosi narudia tena, ukumbule kikosi cha EPL kina wachezaji 25 tuu, Musonda angesepa amejaza nafas tuu.....
Unashindwa kuelewa kwamba Abraham hachezi nafasi ya Musonda hivyo uwepo wa Musonda hauthiri nafasi ya Abraham kutokuwepo.Lets assume Musonda hayupo yupo Abraham. Je angweza kugombania namba na Morata na Batshuayi? Kitu ambacho kingekuwa vigumu kwake kupata nafasi ya kucheza mara kwa marau kwani hata huyo Batshuayi hapati nafasi mara nyingi anapokuwepo Morata ukizingatia kinda anahitaji muda wa kucheza ili kujijengea kiwango na si kukaa bench ndiyo maana wanalilia kutolewa kwa mkopo ama kuuzwa moja kwa moja mfano akina Chalobah,Ake,Loftus-Cheek,Zouma n.k
 
Kama unaifatilia timu basi uje na hoja nyengine maana kwa hoja hiyo ya spirit nimeshakupa mifano ya mechi kadhaa hapo juu.
Tuna kikosi chepesi kwa uthibitisho upi labda?

Misio mnazi, bali mpenzi wa soka, na Chelsea ndio chaguo sahihi kwangu, lakini siwezi kutetea kitu ambacho hakipo

Tubaki na misimamo yetu,
 
CONTE OUT!!!!!!!
uyu sio kocha wakuu iv hamuoni kama anatuharibia timu yetu daaah
 
Ukubwa wa kikosi narudia tena, ukumbule kikosi cha EPL kina wachezaji 25 tuu, Musonda angesepa amejaza nafas tuu.....

Mara zote Busara ni kukubaliana kutokubaliana, yaani kila mtu akae na uelewa na misimamo yake, tupo tofauti humu, kuna mashabiki, wanazi, wapenzi, wapinzani nk, so kila mtu ana opinion zake , mtabishana mpaka kunakucha hapo
 
Kabisa mkuu.
Hapana mkuu, kama tumefikia pahala pa kusema asipokuwepo morata na conte kwenye mechi ndogo kama ya jama ya crystal palace basi hatuna timu..
Hv kina hazad, pedro, wilian, butshway, fabrigas na alonso hv sio wachezaji..??

Mi niimesema hapo awali kuwa kuna mawili, either wachezaji wamechoka kwa uwezo kushuka au mfumo wetu ni mbovu ambao unakabika kirahisi...

Tusopobadilika mapema, tusahau kuwa mojawapo ya wakimbiza ubingwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom