Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila team yako mbovu, mark my word february ikifika ulete mrejesho.

Vipi kuhusu ya kwako? Naona uneshikilia ya kwangu mbovu wakati mpaka sasa sijapoteza mechi yoyote na imeruhusu goli 2 tu.
Ya kwako vipi ambayo mpaka sasa imefungwa mechi 3 kati ya 8?
 
LKN bado tuna madogo wapo timu mbalimbali kwa mkopo tunaweza kuwarudisha tu.
Tatizo la conte huwa hawaamini vijana/madogo.
Usione hadi musonda kaamua kufunguka ujue uvumilivu ulimshinda.
Nathan Ake nae aliongea hivo hivo baada ya kuhama.
Chalobah nae hivo hivo.
Conte anapenda kutumia wazee hata kama "wamekata ringi".
 
Vipi kuhusu ya kwako? Naona uneshikilia ya kwangu mbovu wakati mpaka sasa sijapoteza mechi yoyote na imeruhusu goli 2 tu.
Ya kwako vipi ambayo mpaka sasa imefungwa mechi 3 kati ya 8?
Angalia team ulizokutana nazo tena ukiwa full mkoko, tofauti na sie tukiwa na injuries kibao.
 
Nipo youtube naangalia marudio ya game [HASHTAG]#chelsea[/HASHTAG] vs man united#
Mwaka 1999 bpl.
Chelsea 5-0 man urinated.
Gus poyet mapema tu kashawaweka.
Ferguson kachanganyikiwa anakimbia kimbia kama ana maruhani.
Saf maruhani yamempanda kichwani.
Nipo naangalia marudio ya uefa pale Moscow, naona legend wenu aliamua kui favor timu yake pendwa.
791852419f85e471213953a0e89a5a14.jpg
 
Kushinda game 30 against 38 kwenu ndo mnaita bahatika?????????
Kuweka record ya winning 30 games in epl ndo bahati sio?????????
Kushinda 13games in epl in a row ndo bahati???????

Huu ni msimu wa 2017/18 sio 2016/17.
 
Chelsea need to change character from home game with Roma in midweek, othewise i see Conte days at Chelsea to be numbered.
 
Nipo naangalia marudio ya uefa pale Moscow, naona legend wenu aliamua kui favor timu yake pendwa.
791852419f85e471213953a0e89a5a14.jpg
Ukimaliza hiyo unganisha na ile fainali ya carling "chelsea vs man urinated"
Ile mnawekwa kimoja na drogba.
 
Hapo juu umesema February Man United itakua nafasi ya 6, ulikua unafanya nini kama sio kutabiri?
Hiyo inajulikana na kila mtu kuwa manU pale juu kashika nafasi za watu.
Maybe you, ila mbona inajulikana kuwa manU nafasi yake ni #6.
 
Kushinda game 30 against 38 kwenu ndo mnaita bahatika?????????
Kuweka record ya winning 30 games in epl ndo bahati sio?????????
Kushinda 13games in epl in a row ndo bahati???????
Acha maneno mengi. Msimu huu mnatoka kapa hakyanan!! Timu mbovu kabisa ile!!
 
Acha maneno mengi. Msimu huu mnatoka kapa hakyanan!! Timu mbovu kabisa ile!!
Kwani wewe team gani tuanzie hapo kwanza??????
Maana naweza nkawa natumia nguvu nyingi kumuelimisha mtu wa team isiyoshindania makombe.
Team yako ndo ile ina fight kuingia top4 kwa misimu sasa????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom