Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Blues ila ulichoongea hapo ni kisingizio cha kitoto sana mkuu...lets face the reality,we should have done better against crystal palace hata kama tungechezesha reserves
Team inakosa morali hasa ukizingatia kapteni ni bora liende.
Kuna kipindi wakawa wanadai chamberlin sababu ya yeye kugoma kuja chelsea na ku opt liverpool ni baada ya kukutana na cahil national team.
Na cahil akawa anamwambia chamberlin utakuwa "world class player" chamberlin akaona haya makuzi/masikhara.
Cahil mwenyewe ndo huyu na mimi ntakuwaje "wcp" wakati yeye kashindwa.
 
Tatizo kocha hana plan B,mfumo wa defensive ukishindwa inabidi kuwe na mfumo mwingine wakuokoa jahazi dakika za mwisho...unaingiza hata washambuliaji watatu kuforce goli,na hata hii ishu ya kukumbatia wachezaji waliojifia kama willian na cahill nalo ni tatizo kubwa,game ya city rudiger na christensen walitusave sana ingawa tulipaki ila jamaa walikaza sana pale nyuma ila chakushangaza bado anahangaika na cahill.
 
Hapo umeongea point kubwa sana mkuu, conte yupo conservative sana.
Yaani vijana wa kazi wapo ila yeye anakumbatia waliokata ringi akina cahili+fabregas.
Tena kwa cahil asingepata tabu coz toka enzi za mourinho alikuwa msugua benchi zouma alishika usukani kabla ya kuumia vs united.
Mbona ivanovich alitusaidia sana ila mwisho pumzi ikakata na akawa hana tena pace na akaamua kumweka benchi???????
Mikel je????? Nae alikua msaada alivokua peak but time running akatepeta.
Ramirez???????
Why not cahil na fab???????.
Kwani team za china na marekani haziwaoni cahili na fabregas??????
 
Kwani wewe team gani tuanzie hapo kwanza??????
Maana naweza nkawa natumia nguvu nyingi kumuelimisha mtu wa team isiyoshindania makombe.
Team yako ndo ile ina fight kuingia top4 kwa misimu sasa????????
Yan mnafungwa na timu iliyofungwa mechi zote tokea msimu uanze??

Chelshit mmea vimeo kabisa...
 
Hiyo inajulikana na kila mtu kuwa manU pale juu kashika nafasi za watu.
Maybe you, ila mbona inajulikana kuwa manU nafasi yake ni #6.
Kama inavojulikana kwa sasa kuwa chelsea katandikwa viwili na timu inayoshika mkia
 
IMG_2489.jpg

Álvaro Morata mazoezini hii leo.
 
Unashindwa kuelewa kwamba Abraham hachezi nafasi ya Musonda hivyo uwepo wa Musonda hauthiri nafasi ya Abraham kutokuwepo.Lets assume Musonda hayupo yupo Abraham. Je angweza kugombania namba na Morata na Batshuayi? Kitu ambacho kingekuwa vigumu kwake kupata nafasi ya kucheza mara kwa marau kwani hata huyo Batshuayi hapati nafasi mara nyingi anapokuwepo Morata ukizingatia kinda anahitaji muda wa kucheza ili kujijengea kiwango na si kukaa bench ndiyo maana wanalilia kutolewa kwa mkopo ama kuuzwa moja kwa moja mfano akina Chalobah,Ake,Loftus-Cheek,Zouma n.k
Hivi wew unafikiri utamtegemea morata mpaka lini, alafu Tammy huwez mfananisha na Batsuayi asee, amefunga magolia mengi tokea national league, Wew nafas ya Musonda kuna wangapi wazur zaidi yake wapo benchi,. Embu acha mapenz ya mchezaji mmoja mmoja asee, kama mimi ningekua board ya chelsea nngemtoa musonda akabaki Tammy, tuna michuano ming bro but maforward wachache ila vingo washbuliaji wakumwaga na wenye uwezo mkubwa....
Embu katafute maneno aloyasema conte akat anaondoka Tammy.. ,,,
 
Ntajie nafasi anayocheza Musonda na wachezaji wengine wa Chelsea wanaocheza hiyo nafasi na wanakaa bench
 
Yani umuanzshe musonda akat kuna Willian, pedro, hazard na ata fabregas anaweza cheza vizur sana hiyo nafas aka act kama side striker....
 
Sijasema umuanzishe labda hukuelewa vizuri nilisema uwepo wa Musonda kikosini hauna uhusiano na Abraham kutolewa kwa mkopo kwasababu mmoja ni winga mwengine mshambuliaji wa kati.
Willian,Hazard na Pedro ambao ndiyo huwa wancheza sana na Musonda huwa anacheza mara moja moja sasa nimekushangaa ulivyosema eti kuna wazuri zaidi yake wanaokaa bench wakati yeye ndo huwa anakaa bench.
MY POINT IS:
Unapozungumzia Abraham kutolewa kwa mkopo wazungumzie wakina Morata na Batshuayi kwani hao ndiyo wanacheza nafasi moja na yeye na ndiyo ambao angegombania nao namba na si Musonda.
 
Sawa mkuu nmekupataa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom