Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Back to december, utakapokuwa kwenye nafasi yako pendwa ya 6.
Kwa ule mpira mliocheza jana vs liverpool.
Get prepared sychologically.

Wakati huo unapambana kutoshuka daraja, kwa ule mpira uliocheza jana. Chelsea inatakiwa kucheza Championship na sio Premier League.
Hapo bado haujakutana na New Castle, Watford, Huddlesfield.
8cd7a7d3e2715ad476013ec52e2549ef.jpg
 
naona uelewa wako ndiyo tatizo hatutafikia muafaka.
Kweli kabisa uelewa wangu ndo tatizo, maana mimi naona mapungufu na namsikiliza kocha anayekaa na wachezaji mda mwingi,
Sikusikilizi wewe unayesema hadi gary cahili ni bonge la beki.
I can't argue anymore.
 
Wakati huo unapambana kutoshuka daraja, kwa ule mpira uliocheza jana. Chelsea inatakiwa kucheza Championship na sio Premier League.
Hapo bado haujakutana na New Castle, Watford, Huddlesfield.
8cd7a7d3e2715ad476013ec52e2549ef.jpg
Mkuu nyie ni "care taker" december hadi february mtakuwa msharudi u'r favourite position #6.
 
Wakati huo unapambana kutoshuka daraja.
Nipo youtube naangalia marudio ya game [HASHTAG]#chelsea[/HASHTAG] vs man united#
Mwaka 1999 bpl.
Chelsea 5-0 man urinated.
Gus poyet mapema tu kashawaweka.
Ferguson kachanganyikiwa anakimbia kimbia kama ana maruhani.
Saf maruhani yamempanda kichwani.
 
Baada ya hiyo angalia na marudio ya mechi yenu ya jana dhidi ya Crystal Palace.
 
IMG_2482.jpg
IMG_2483.jpg
IMG_2484.jpg
IMG_2485.jpg
IMG_2486.jpg
Hivi wewe huwa unafatilia hata press conference za antonio conte??????????
Maana daily huwa analalamikia squard depth hata jana baada ya kufungwa kwenye press alivoulizwa alijibu "my message was clear(to the board/staff).
Juzi napo alisema anafikiria kuwachezesha watoto akina Ampadu na Scot as midfield au beki kama luiz wawe DM.
Sasa kocha alalamike daily kuhusu squard depth then wewe useme chelsea tuna kikosi kipana, kweli???????????
Wewe MD ya fab+bakayoko unaona itaweza pambana na barcelona/psg/spurz/madrid/bayern????????
hayo ni maelezo ya Conte baada ya mechi ya jana naomba ulete hayo yako aliyosema kwamba "my message was clear to the board/staff" baada ya mchezo wa jana.
Source nimekuwekea hapo ni Chelsea FC kama unabisha ingia kwenye website ya timu.
 
Baada ya hiyo angalia na marudio ya mechi yenu ya jana dhidi ya Crystal Palace.
Hiyo angalia wewe, mimi huwa naangalia united alivopokea vipigo vikubwa kutoka chelsea.
5-0 ndo nimeanza nayo.
4-0 last season following.
5-4 following.
Vipigo heavyweight.
 
Hiyo angalia wewe, mimi huwa naangalia united alivopokea vipigo vikubwa kutoka chelsea.
5-0 ndo nimeanza nayo.
4-0 last season following.
5-4 following.
Vipigo heavyweight.

BREAKING: Crystal Palace have won a Premier League match.

This is not a drill. Crystal Palace have beaten Chelsea.
 
Yaani nahisi baadhi ya wachezaji wanachoka au kiwango chao kineshuka kwa kiasi kikubwa, wachezaji kama William, Cahill, hazard wanacheza ovyo MNO, kocha aanze kuwaamini vijana awachezeshe hawo
 
Yaani nahisi baadhi ya wachezaji wanachoka au kiwango chao kineshuka kwa kiasi kikubwa, wachezaji kama William, Cahill, hazard wanacheza ovyo MNO, kocha aanze kuwaamini vijana awachezeshe hawo
Mkuu huyo cahili kiwango kimeshuka toka zamani, hukumbuki mourinho alikuwa anampiga bench na kumchezesha zouma??????
Mfumo wa conte ndo ulimbeba last season. Hata jana kocha wa palace aliwaambia attacking wake wamtarget cahil ndo "weak point".
Mwingine ni fabregas yaani huyu jamaa kaisha vibaya hata hawezi kaba, na akitoka chelsea hakuna team kubwa itakayomtaka.
 
Mkuu kwa mpira mliocheza na liver jana hata ujasiri wa kupost hapa unautoa wapi sijui.

Nimepata point 1, wewe ndio nikuulize ule mpira waliocheza Chelsea jana leo umepata wapi ujasiri wa kuingia JF?
Yani timu imecheza mechi 7 bila ya kupata goli lolote, jana wamepata goli na kuondoka na points 3.
 
Ila team yako mbovu, mark my word february ikifika ulete mrejesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom