Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Since 15/16 in the Premier League...

Hazard:

[emoji413] 71 Games
[emoji742]️ 8 Assists
[emoji460]️ 20 Goals

Martial:

[emoji413] 62 Games
[emoji742]️ 12 Assists
[emoji460]️ 18 Goals
hayo magoli na assist za Martial zimeisaidia nn Man Utd hadi leo?tunajua kwa upande wa Hazard zimesaidia timu yake kuchukua ubingwa wa EPL 2016/2017
 
kwahiyo kushika nafasi fulani msimu uliopita haikufanyi usiwe title favourite msimu unaofuata iwapo utaboresha kikosi chako Chelsea walituonyesha hilo msimu waliomaliza wa kumi 2015/2016 wakaja kuwa mabingwa msimu wa 2016/2017 na Man Utd alimaliza wa sita last season na msimu huu ni title favourite na anaonyesha kweli yeye ni title favourite kwahiyo Valencia kumaliza hiyo nafasi msimu uliopita hakumfanyi asiwe title favourite msimu huu
 
kwahiyo kushika nafasi fulani msimu uliopita haikufanyi usiwe title favourite msimu unaofuata iwapo utaboresha kikosi chako Chelsea walituonyesha hilo msimu waliomaliza wa kumi 2015/2016 wakaja kuwa mabingwa msimu wa 2016/2017 na Man Utd alimaliza wa sita last season na msimu huu ni title favourite na anaonyesha kweli yeye ni title favourite kwahiyo Balencia kumaliza hiyo nafasi msimu uliopita hakumfanyi asiwe title favourite.
Title favourite ni timu inayopewa nafasi kubwa kuchukua/kupigania ubingwa, Kwa England United, City, Liverpool arsenal, Chelsea na sasa Spurs kitendo cha Chelsea kumaliza nafasi ya 10 haimaanishi hawakuwa title favourite . Leicester ilichukua ubingwa na haikuwa title favourite kwa Spain title favourite miaka yote ni Real Madrid vs Barca na Atletico siku hizi , timu haiwezi kumaliza nafasi ya 12 misimu 2 mfululizo halafu iwe title favourite

Back to Chelsea
Last season mlipata advantage ya kutocheza mechi za UCL/Uropa tofauti na msimu huu angalia game mlizocheza baada ya UCL hamjashinda hata moja na performance imekuwa mbovu
 
nani kakwambia La Liga ni timu tatu?au ni kwa vile wengi wanasema hivyo?tatizo lenu mnafatilia La Liga game za Barca na Madrid tu na swala la kusema eti Chelsea walichukua ubingwa kisa hawakuwa katika mashindano ya Ulaya ni pointless Mara ngapi Chelsea anachukuwa ubingwa na anashiriki ulaya mfano 2014/2015 achilia mbali huko nyuma.Vile vile uwe unaangalia Chelsea anapotoka kucheza ulaya kacheza na nani?Ni Arsenal na City hizi ni big games kwahiyo usitolee mfano kwa michezo hiyo eti Chelsea akitoka kucheza ulaya hashindi kwenye ligi hiyo ni michezo mikubwa unatoka Spain kumenyana na Atletico Jumatano unarudi Uingereza.Alkhamis unapumzika Ijumaa unafanya mazoezi Jumamosi unacheza na Man City halafu unasema Chelsea haishindi ikitoka kucheza ulaya angalia opponents anaocheza nao kwanza.
 
Hivi akili yako inafanya kazi sawa sawa? takwimu zako umezitoa ni katika premier League sasa Europa,EFL zimeingiaje hapo?au hujielewi? na kuongoza Ligi ni mafanikio?maana hata timu ndogo huongoza Ligi mwanzoni mwa msimu

Povu la nini?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hasira za kupigwa na City usiniletee mimi.
hasira?hahaha nakusikitikia sana kutokana na upeo wako unavyowaza vitu irrelevant sasa hasira inahusiana vipi hapo? kwani mpira ni mchezo wa hasira? ukifungwa unakuwa umefungwa jela au?hahaha utoto bhana anyway bado naamini ukikua utaacha ni utoto tu unakusmbua
 
nani kakwambia La Liga ni timu tatu?au ni kwa vile wengi wanasema hivyo?tatizo lenu mnafatilia La Liga game za Barca na Madrid tu na swala la kusema eti Chelsea walichukua ubingwa kisa hawakuwa katika mashindano ya Ulaya ni pointless Mara ngapi Chelsea anachukuwa ubingwa na anashiriki ulaya mfano 2014/2015 achilia mbali huko nyuma.Vile vile uwe unaangalia Chelsea anapotoka kucheza ulaya kacheza na nani?Ni Arsenal na City hizi ni big games kwahiyo usitolee mfano kwa michezo hiyo eti Chelsea akitoka kucheza ulaya hashindi kwenye ligi hiyo ni michezo mikubwa unatoka Spain kumenyana na Atletico Jumatano unarudi Uingereza.Alkhamis unapumzika Ijumaa unafanya mazoezi Jumamosi unacheza na Man City halafu unasema Chelsea haishindi ikitoka kucheza ulaya angalia opponents anaocheza nao kwanza.
Naona unarukaruka tu,
Sihitaji kuambiwa na mtu kuwa Valencia sio title favourite kwenye la liga nafuatilia La Liga,Serie A &EPL
Kama unafuatilia La Liga halafu unasema Valencia ni title favourite ni bora uache kabisa kuifuatilia , So hata Qarabac ilikuwa ni big match ? Arsenal miaka yote ni kibonde wa Chelsea

Last season Chelsea walikuwa hawachezi Jummane/Jumatano walikuwa wanapumzika unlike others competitors wenzake so ilikuwa ni advantage kwao

Naona umejiunga JF juzi hata miezi 2 hujafikisha endelea kujifunza kujenga hoja.
 
Nimegundua una asili ya ubishi kwahiyo hatutofika tamati kwa style hii endelea kuamini unachoamini na mimi wacha niendelee kuamini nnachoamini na swala la kujiunga JF hata ikiwa jana halihusiani na mada kabisa.
 
kwahiyo odds ndo zinakwambia nani title favourites? we ni mtu wa mpira au mtu wa kubeti? unajua maana ya title favourites lakini?
Ndiyo. Suala la title favourites lina-base kwenye mambo mengi, odds ni moja ya mambo! Yaani kusema tu timu fulani inaweza kuwa bingwa, tayari hapo ni odds. Pengine hufahamu maana ya neno odds! Pia kuna masuala kama ya historia ya timu, usajili wa timu husika, kocha wa timu n.k.

Kwa upande mwingine, hiyo unavyosema Valencia na AM ni title favourites unatumia nini kufikia hitimisho hilo? Vivyo vivyo kwa kusema Arsenal ni title favourite, umefikiaje hilo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom