Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

na pia uangalie hizo game ni against nani? Arsenal na Man City ni title favourites hao.kwahiyo huwezi kusema eti chelsea huwa hawashindi game wakitoka kucheza uefa kwa kutumia mifano hiyo miwili.
Assno ni ya saba huko, one point ahead of huddersfield (whatever the name) Newcastle and burnley alafu unasema ni title favorites? You might be kidding
 
Chelsea in wazuri ila city walikuwa wazuri zaisi. Kikosi ni kizuli na uhakika msimu huu mtamaliza juu ya united. Japo wametangulia lakini kwa aina ya mpila mnaocheza timu bado cyo mbaya kihivyo.
 
Usiumize kichwa humu utapata mawazo na sio majibu.
Chukua hizo namba piga na fuata maelekezo then lete mrejesho na sisi tujue kama ni kweli au ni uzushi.Allah akbar
Santana niliwapigia wakaniomba 45000 halafu na namba ya account bank kisha majina matatu pamoja na umri Wang halfu wanasema ndani ya masaa 3 utawekewa kwenye account yako million 60 dah hapo ndipo niliposhituka.
Leo city atakula mbili bila akawadithie wenzake.
 
Chelsea in wazuri ila city walikuwa wazuri zaisi. Kikosi ni kizuli na uhakika msimu huu mtamaliza juu ya united. Japo wametangulia lakini kwa aina ya mpila mnaocheza timu bado cyo mbaya kihivyo.
Kidgo najaribu kujueleewz umeongea ki sport sana hujapendelea upande wowote
 
Chelsea in wazuri ila city walikuwa wazuri zaisi. Kikosi ni kizuli na uhakika msimu huu mtamaliza juu ya united . Japo wametangulia lakini kwa aina ya mpila mnaocheza timu bado cyo mbaya kihivyo.

Ndio kombe pekee mlilobakiza loserpool, wenzenu wanainua makwapa nyie mnawaza kumaliza juu ya Manchester.

How the mighty has fallen
 
Assno ni ya saba huko, one point ahead of huddersfield (whatever the name) Newcastle and burnley alafu unasema ni title favorites? You might be kidding
sawa Arsenal yupo nafasi ya saba lakini kacheza michezo 6 hadi sasa ana michezo 32 that means kuna 96 points he is fighting for mind you EPL is marathon not a sprint.Real Madrid yupo nafasi ya 6 La Liga vipi na yeye siyo title favourite?
 
La Liga title favorites ni wawili tu. Unafananisha na EPL?!!
 
La Liga title favorites ni wawili tu. Unafananisha na EPL?!!
Atletico Madrid siyo title favoutites?Valencia?halafu sijafananisha La Liga na EPL labda kama una tatizo la kuelewa au uelewa wako ni hafifu nimetolea mfano wa nafasi ambayo Madrid anashika huko La Liga kwasababu jamaa alisemea Arsenal kushika nafasi ya 7 siyo title favourites
 
Inakuwaje title favourite (Valencia) imemaliza ligi nafasi ya 12 kwa misimu 2 iliyopita ?
 
27fcab5d82641b96039f4d6b8cb5dba4.jpg
nafkiri saiv chelsea tunakikosi kipana zaid ya tim yoyote England

Sent from my Iphone7 Using Jamiiforum mobile app

Kweli kabisa
 
Wakuu ila kwenye hizi mechi kubwa mlizocheza toka gem ya spurs,arsenal na city pengo la diego costa kiukweli lipo tena kubwa tu yule otamendi huwaga hana ujeur kabisa kwa costa
 
Since 15/16 in the Premier League...

Hazard:

71 Games
️ 8 Assists
️ 20 Goals

Martial:

62 Games
️ 12 Assists
️ 18 Goals
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom