Hahaha aiseeee kumbe JF kuna watu wana reasoning ya hali ya chini kama wewe eti Conte mbovu kwa mifano miwili uliyotoa hapo mmoja wa mechi ya jana mwengine wa mechi ya msimu uliopita,yaani kabisa umeona hizo ndo points za kuja nazo hapa kutuaminisha kuwa Conte mbovu that's typical madness mkuu.Huyo Conte unaesema mbovu kaweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kushinda ubingwa wa EPL kwa kushinda mechi 30 kati ya mechi 38.Mourinho wako alipigwa 4-0 na Conte unaesema mbovu akapigwa tena 1-0,hao Man City chini ya Guardiola walipigwa nje ndani na Conte last season Conte akaweka tena historia ya kuwa kocha wa kwanza kumfunga Guardiola mechi mbili za Ligi ndani ya msimu mmoja tangu aanze kazi ya ukocha still unasema Conte mbovu,hao Arsenal unaosemea wamemfunga Conte wewe walikupiga 2-0 Emirates na Old Trafford mkasuluhu kwahiyo wamevuna point nne kwako.Na pia uangalie katika mechi saba za Chelsea kwenye Ligi hadi sasa kashacheza na Spurs,Arsenal na Man City wewe umecheza na nani wa level hizo? vile vile unaposemea swala la Costa lazima uwe umei study scenario nzima hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu Chelsea wameondoka mihimili ya timu wakina Cech,Terry,Lampard,Drogba na bado timu imeendelea kusonga mbele who the fvck is Costa hadi awe juu ya timu.Sir Alex Ferguson aliwatimua Roy Keane na David Beckham walivyoanza kujifanya jeuri pale Old Trafford unajua kwanini? simply no player is bigger than the club.