Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pep Guardiola kadai kumdhibiti Fabregas ndiyo mission yao kubwa katika pambano lao na Chelsea na ndio siri ya ushindi wao mwembamba wa bao moja kwa nunge pale darajani. Amedai kuwa ndiye mchezaji pekee aliyekuwa anamuogopa kwa sababu alishawahi kuwa meneja wake akiwa na Barcelona
Inaweza kuwa sio au ndio ila mm mpango mzima ni hazard kumbana pale
 
Unajifanya kuficha ujinga kwa outdated record...mi siwez kukujibu kwa sasa....nahfadhi huu ujuaji wako ili nije mkuzime vizur na chealsea yako
2016/2017 records unaita outdated hivi unajua maana ya neno outdated au umeamua kutumia ilimradi uonekane unaweza kutumia kiingireza?we jamaa ni mazwazwa kabisa yani.Huwezi kunijibu kwasababu huna points za kutoa kutetea hoja yako isiyo na mashiko na huwezi kuizima Chelsea kwasababu una timu ya kawaida sana ushukuru tu Fixture yako imekaa poa.
 
Costa ndio mdudu gani?
Mkuu ntunzu huyo hapo mdudu

p18507.png

Diego Costa
Position

Forward
Follow Diego Costa Premier League Record

Appearances
89
Goals 52
Assists 16

Appearances89
Goals52
Wins56
Losses18
  • Attack
    Goals52
    Goals Per Match0.58
    Goals With Header5
    Goals With Right Foot34
    Goals With Left Foot13
    Penalties Scored1
    Goals From Freekick0
    Shots255
    Shots On Target107
    Shooting Accuracy %42%
    Hit Woodwork7
    Big Chances Missed28
  • Team Play
    Assists16
    Passes2,566
    Passes Per Match28.83
    Big Chances Created14
    Crosses45
  • Discipline
    Yellow Cards26
    Red Cards0
    Fouls119
    Offsides84
  • Defence
    Tackles52
    Blocked Shots65
    Interceptions19
    Clearances85
    Headed Clearance59
 
Naona unarukaruka tu,
Sihitaji kuambiwa na mtu kuwa Valencia sio title favourite kwenye la liga nafuatilia La Liga,Serie A &EPL
Kama unafuatilia La Liga halafu unasema Valencia ni title favourite ni bora uache kabisa kuifuatilia , So hata Qarabac ilikuwa ni big match ? Arsenal miaka yote ni kibonde wa Chelsea

Last season Chelsea walikuwa hawachezi Jummane/Jumatano walikuwa wanapumzika unlike others competitors wenzake so ilikuwa ni advantage kwao

Naona umejiunga JF juzi hata miezi 2 hujafikisha endelea kujifunza kujenga hoja.

Acha upofu unawezaje kusema arsenal miaka yote ni kibonde wa chelsea wakat wamekutana mara 170 na arsenal kashinda mara 64 dhidi ya 56(ushindi wa chelsea) na wamedroo mara 50.
 
2016/2017 records unaita outdated hivi unajua maana ya neno outdated au umeamua kutumia ilimradi uonekane unaweza kutumia kiingireza?we jamaa ni mazwazwa kabisa yani.Huwezi kunijibu kwasababu huna points za kutoa kutetea hoja yako isiyo na mashiko na huwezi kuizima Chelsea kwasababu una timu ya kawaida sana ushukuru tu Fixture yako imekaa poa.

Ww hata unitukane matus ya nguoni, najua unatapa tapa ukjifarji kupitia msimu uliopita....ila utanyooka tu wala usisingizie fixture...lazima unyooke kabisa
 
Ww hata unitukane matus ya nguoni, najua unatapa tapa ukjifarji kupitia msimu uliopita....ila utanyooka tu wala usisingizie fixture...lazima unyooke kabisa
naona umedhihirisha kuwa huna tena hoja ya kujitetea nayo umebaki maneno matupu hahaha huna wakumnyoosha wewe hicho kidomo domo kitakatwa soon,EPL is a marathon not a sprint lets wait and see.
 
Ligi jamani bado mbichi kabisa.
Man u wazuri, City wazuri, Chelsea na spur wazuri. Ila tujue tu kuwa kutetea title ya EPL since 2009 imekuwa ni ngunu sana. Ukishachukua title mwaka unaofuata unakuwa teja. Mimi Chelsea ikipigania kubaki championship nitaridhika. Wapiganie tu kubeba vikombe vingine ikiwemo UEFA
Mi huwa ukisema manure wapo vizuri sijui huwa unamaanisha nini, umewapima kwa kucheza na nani? ........ hao manure sioni hata wakimaliza big4, liva hujawataja hapo ila wapo vizuri kuliko hat hao manure. Hii comment yangu nitaiweka km kumbukumbu kwamba manure ni timu mbovuu! na wala big4 haitakuwemo.
 
nintchdbpict000357245001.jpg
nintchdbpict000357228831.jpg
Chel goal.jpg
nintchdbpict000357245481.jpg
Mi huwa ukisema manure wapo vizuri sijui huwa unamaanisha nini, umewapima kwa kucheza na nani? ........ hao manure sioni hata wakimaliza big4, liva hujawataja hapo ila wapo vizuri kuliko hat hao manure. Hii comment yangu nitaiweka km kumbukumbu kwamba manure ni timu mbovuu! na wala big4 haitakuwemo.

Fireeeeeeeeee
Chel goal.jpg
nintchdbpict000357245481.jpg
 
Mi huwa ukisema manure wapo vizuri sijui huwa unamaanisha nini, umewapima kwa kucheza na nani? ........ hao manure sioni hata wakimaliza big4, liva hujawataja hapo ila wapo vizuri kuliko hat hao manure. Hii comment yangu nitaiweka km kumbukumbu kwamba manure ni timu mbovuu! na wala big4 haitakuwemo.
naona umedhihirisha kuwa huna tena hoja ya kujitetea nayo umebaki maneno matupu hahaha huna wakumnyoosha wewe hicho kidomo domo kitakatwa soon,EPL is a marathon not a sprint lets wait and see.

Tatizo lenu huwa mnakula michembe..mkivimbewa mnajifanya mnajua sana...wakat hata hamjaongoza timu moja kwenye dondo cup..wenzenu tunaenda kwa data nyie mnaenda kwa tunguli na kuruka ungo...chelsea ni dhaifu sana kwa sasa...na kibaya zaidi ina fight kupata vikombe 4 huku wachezaji wakisua sua..mechi tisa tu wameanza kutema ulimi
Screenshot_20171002-220906.png
Screenshot_20171002-220658.png
 
Tatizo lenu huwa mnakula michembe..mkivimbewa mnajifanya mnajua sana...wakat hata hamjaongoza timu moja kwenye dondo cup..wenzenu tunaenda kwa data nyie mnaenda kwa tunguli na kuruka ungo...chelsea ni dhaifu sana kwa sasa...na kibaya zaidi ina fight kupata vikombe 4 huku wachezaji wakisua sua..mechi tisa tu wameanza kutema ulimi
View attachment 600762 View attachment 600763

Kwenye hizo statistics chelsea, wameshacheza na Arsenal, spars na man city .......... manure wameshacheza na nani?
 
Kwenye hizo statistics chelsea, wameshacheza na Arsenal, spars na man city .......... manure wameshacheza na nani?
Point yako imekaa kibongo bongo sana sina tym ya kupoteza tym +data kuijibu....
 
All in all, Conte inatakiwa ajue nan wa kumwanzsha na nan wa kumwingiza kama sub, maana timu ina wacjezaji wazur ila kuwapanga kulingana na timu pinzani ndio ishu.
Mfano kikos alchokipanga mechi ya Stoke kilkuwa sahih sana na hata mech ilikuwa nyepes ingawaje stoke ni wabshi na ikumbukwe waliwatesa sana Arsenal na Man u
 
Acha kuchimba mkwara watu..timu ni mbovu sana..wachezaji wanakaza tu ili kumbeba kocha asifikuzwe kaz mapema japo kufikia january atakuwa ameshatimuliwa tayar...kocha gan hata hajui kucheza na sub sahihi pale timu inapokamatika..angalia game ya jana na ile game ya marudio na man u..ndo utajua huyo jamaa mwaka jana alibahatisha tu..wababe walikuwa wanatengeneza timu sasa hana chake...timu unatengeneza kumzunguka mchezaj mmoja hazard..akishikwa kwisha...timu inafungwa na arsenal timu isiyo na umoja...alafu mnasema timu ngumu..game kama tisa tu mfululizo wachezaji wanahema kama punda...na bado kuna kpind cha kucheza mechi tatu kwa wiki...et kwa kibur anamtema costa, alafu mnadai atachomoka acheni masihara
Mwambie baba yako atengeneze timu ambayo utashinda kila kitu na mkeo awe kocha mbuzi wa shughuli ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom