Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Mnashindwa kutafuta draw kweli nyie hamna kitu
Man City ni timu ya kuangaliwa msimu huu, wewe shabiki wa Man U ukiangalia fixtures zenu so far za msimu huu ukilinganisha na fixtures za Man city utakuwa UMENIELEWA, ...Mara moja moja muangalie mpira kitaalamu na si kishabiki. Leo mmezidiwa,City wako vizuri sidhani kama kuba timu ingeweza kuwazuia leo kwa kiwango hiki.
Im disappointed, I wanted a draw!
Tungeweza kama tungepanga timu tofauti. Defence ya City is not the best wanasaidiwa na attacks. Tulitakiwa kupanga kikosi tofauti.Mara moja moja muangalie mpira kitaalamu na si kishabiki. Leo mmezidiwa,City wako vizuri sidhani kama kuba timu ingeweza kuwazuia leo kwa kiwango hiki.
Im disappointed, I wanted a draw!
City wako vizuri sana.Man City ni timu ya kuangaliwa msimu huu, wewe shabiki wa Man U ukiangalia fixtures zenu so far za msimu huu ukilinganisha na fixtures za Man city utakuwa UMENIELEWA, ...
Gari LA mkaa hao trip moja shamba ya pili gereji.ligi bado.tunaangalia mbele sasa.City wako vizuri sana.
Umefurahi sana eeh. Subiri zamu yakoDaraja nimejengwa kwa vijiti limevunjika kiulaini kabisa
Be serious mkuu. Gari la mkaa mechi saba kashinda 6! Mbili kati ya hizo kawafunga top four giants...Gari LA mkaa hao trip moja shamba ya pili gereji.ligi bado.tunaangalia mbele sasa.
Amn kitu City na wakikutana na timu yenye beki nzur na inashambulia kama Man UTD anapigwa nyng tuu....City wako vizuri sana.
Conte alikosea kidogo kwenye kwenye kikosi leo, lakini Conte ni mtu wa kujifunza, ..Tungeweza kama tungepanga timu tofauti. Defence ya City is not the best wanasaidiwa na attacks. Tulitakiwa kupanga kikosi tofauti.
Kama kocha aliamua kuanza na Fabregas basi Morata alivyotoka tu, ningemtoa Fabregas next. It is time to get back to our normal squad.
Kabisaaa MkuuLeo tumefeli kwa hizi mbinu
Nakubaliana na ww Mkuu haswa pale alipo mtoa Bakayoko nazani aliona kile walicho jitahidi playerMay B Conte alichelewa kubadilisha timu mapema ,lakini najua Conte ni kocha anayejua kujifunza kutokana na makosa..
KTBFFH
Mkuu hawa mancity ukijifanya unafungukafunguka hawachelewi kukufunga 5-0