Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kumbuka msimu uliopita alishinda mechi ngapi baadae ikawaje.kwanza leo ametufunga kibahati tu.timu imetoka kucheza mechi ngumu UEFA.imechoka.
Mlivocheza na ile timu yenye jina kama transition ya M-Pesa Quarabvcahga mlipokuja EPL mlishinda ngapi?
 
Leo city atakula mbili bila akawadithie wenzake.
Kumbe mpo wengi
7ee863de87aeb19da262201ed8ab5981.jpg
 
Ollachuga,kimario,kunguru mjanja,mentor,fabro na kalou poleni sana hayo ni matokeo mmekutana wote ma-giant wamepata nafas moja wameitumia pia kuna meseji toka kwa chelsea fans.

Well after a terrific outing in the Champions League I'm afraid it was back to Premier League reality with the wrong kind of bang. Poor from start to finish, we had absolutely nothing left. Bakayoko and Fabregas should have stayed at home. And when Willian came on he also did nothing. Once again Azpi, Kante and Hazard the only ones who showed up today and tried to have an influence on the game. Very clever from City to press high up the pitch, great tactics. Very poor performance from us but we go into the international break now so hopefully we can come back and go on another run. Never stop fighting! Forever a Blue
Asiyekubali kushindwa sio mshindani
Aluta continua mkuu radika
Ligi ni ndefu sana bado match kama 30
Huwezi kujua nini kitatokea
 
Asiyekubali kushindwa sio mshindani
Aluta continua mkuu radika
Ligi ni ndefu sana bado match kama 30
Huwezi kujua nini kitatokea

Kweli mkuu ila kwa gemu ya leo mi nalia na conte tu pedro wa mbio alipaswa kuanza hata hazard angepata muunganiko mzur sijui kapangaje jamaa daaa hazard alikosa ushirikiano kabisa yani
 
Kweli mkuu ila kwa gemu ya leo mi nalia na conte tu pedro wa mbio alipaswa kuanza hata hazard angepata muunganiko mzur sijui kapangaje jamaa daaa hazard alikosa ushirikiano kabisa yani
Yani hata mie nmeshangaa sabab mech kamahizi niza pedro, alaf ckuiz anamuwek bench cjui ili iwejee....,,
 
In fact, our players' performances were very poor, but Christensen was confident with the ball and superb at the back, anafaa KBS kucheza badala ya Cahill.
 
City na Man u wako vizuri mwaka huu. Tuache ushabiki. Chelsea tukibakia kwenye championship tumshukuru Mungu.
 
City na Man u wako vizuri mwaka huu. Tuache ushabiki. Chelsea tukibakia kwenye championship tumshukuru Mungu.
Uko sahihi. Halafu backward passes Leo!! Ovyo kabisa. Mchezaji akipata mpira anaangalia nani yuko nyuma take ampe - hadi mpira ufike goli la City umesharudi kwa kipa wa Chelsea mara tano
 
Ni kweli unayosema mkuu ukweli kuwa Conte alifeli kuanzia upangaji mpaka sub zake nilikuwa nimeshika tama mda wote nikijua kufungwa leo kupo City wamecheza vizuri sana wanastahili ushindi
Kule nyuma sikuona hata cahil amecheza nini mda wote namuona rudiger na christensen kitambaa kinambeba tukubali ukweli
Acha pumba nenda kawapange ww basi mbn mna shobo na majukumu ya watu?!!
 
Tatizo lenu ni ubishi nakujifanya mnajua sana, alichoongea huyo rent boy mwenzio ni sahihi kabisa, angalia mechi mlizocheza baada ya wiki ya uefa mmeshinda ipi!? Au nikujitia upofu tu
7ceb0870dbf81c9cf81731d157511fd0.jpg
na pia uangalie hizo game ni against nani? Arsenal na Man City ni title favourites hao.kwahiyo huwezi kusema eti chelsea huwa hawashindi game wakitoka kucheza uefa kwa kutumia mifano hiyo miwili.
 
na pia uangalie hizo game ni against nani? Arsenal na Man City ni title favourites hao.kwahiyo huwezi kusema eti chelsea huwa hawashindi game wakitoka kucheza uefa kwa kutumia mifano hiyo miwili.
Last season mlipata advantage kutocheza katikati ya wiki msimu huu tayari mshapata kisingizio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom